Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mimi nafuga hao mbwa Koko Wala mavi sawa lkn hakika huwezi kanyaga kwangu saa3 usiku never kabisa huwezi. Wapo 2 tu kazi Yao sio ya kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh moshi kama treni.I love the central asian sherpherd
View attachment 3049138
Mkuu unataka uwafanyie nini...hawa hawafai aissHapana aisee hao sina ,nimepost tu wamenivutia ila nitakuwa nao kufikia mwezi wa 11 ndo watanifikia ...
Nitapata wapi huyoUsifuge mbwa wa kinyonge fuga mbwa wakatili na gharama kama came corso, pitbull,dogo argentino, rottweiler ambao hata akizaa unauza bei nzuri unapata faida
Achana na mbwa koko hawa wala mavi au pampersView attachment 3049085View attachment 3049086View attachment 3049087View attachment 3049088
Mkuu umepata hao mbwa wanapatikana wapi na bei gani?Hapana aisee hao sina ,nimepost tu wamenivutia ila nitakuwa nao kufikia mwezi wa 11 ndo watanifikia ...
Kweli kabisa hawatabiriki, wanaweza kukugeukia mwenyewe.Usifuge hao mbwa nyumbani kamwe. Hao ni sawa na kumiliki AK45 wakati wewe sio mwanajeshi. Kwa lugha nyepesi hao sio petty dogs,(sio wa kuishi nao kwenye familia) madhara yake hutayasahau kamwe