Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... the Doberman pinscher will just look at you and, If you give it a reason, GOES STRAIGHT INTO ACTION!I love the central asian sherpherd
View attachment 3049138
☠️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... the Doberman pinscher will just look at you and, If you give it a reason, GOES STRAIGHT INTO ACTION!I love the central asian sherpherd
View attachment 3049138
The central asian shepherd will simply rip you apart if you cross its territory unannounced, no questions asked.... the Doberman pinscher will just look at you and, If you give it a reason, GOES STRAIGHT INTO ACTION!
☠️
... and DON'T TRY THIS AT HOME!The central asian shepherd will simply rip you apart if you cross its territory unannounced, no questions asked.
Kuna duka kurasini karibu na Kota za polisi anauza hao mbwa na wana aina tofauti tofauti za mbwa hao wazuri n chakula chao jina la duka nahisi linaitwa 4dogs trainersUnawauza
Hao ninao aisee niliagiza misri na pakistan pure breed..Breed nzuri ni GS tu
Hahahaha sawa sawaMkuu utatupatia kasoro na hasara za huyo [emoji240][emoji240][emoji240]Ili nisijethubutu kuwafuga
Mbona nimeweka hapo kwenye uziUngeweka aina ya umbwa na picha ingekuwa vyema zaidi mkuu.
Acheni uogasubiri iko siku watakutafuna wewe mwenyewe hao sio mbwa wa kufuga majumbani hawakawii kukugeuka na kukutafuna ukafia mbali ukiwa nao muda sio mrefu utabadilika jina na kuitwa RIP.
Ni kiasi gani? PriceHao ninao aisee niliagiza misri na pakistan pure breed..
mambo gani tena haya kijanaaa... si bora nifuge manunu akizingua buti moyaaa tuI love the central asian sherpherd
View attachment 3049138
Tabia gani mkuu?Umeanza lini hii tabia mkuu
Hiyo ya umbwa?🤣Soma Quotation yangu kwako ya kwanza, usipocheka, nashusha boga hapa hapa nilipo sahivi
labrador, mpole tu wala hafai kulindamshamba_mwingine huyu aina gani na sifa/tabia zake?
Sijui kalikuwa kanawaza nini.
View attachment 3050447
Mbwa gani mzuri kwa kulinda? Bei ya watoto ipoje. Gs je?labrador, mpole tu wala hafai kulinda
sijui bei ila gs wanafaaMbwa gani mzuri kwa kulinda? Bei ya watoto ipoje. Gs je?
Mbwa gani mzuri kwa kulinda? Bei ya watoto ipoje. Gs je?
Shukrani tajiriWafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa
Mpendwa mwana JF, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa. Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya kufuga mbwa kwa lengo la kujipatia kipato na ulinzi pia. Tutajifunza aina bora na inayohimili...www.jamiiforums.com