Mbwa wazuri na wakatili

Mimi nafuga hao mbwa Koko Wala mavi sawa lkn hakika huwezi kanyaga kwangu saa3 usiku never kabisa huwezi. Wapo 2 tu kazi Yao sio ya kitoto
 
Usifuge hao mbwa nyumbani kamwe. Hao ni sawa na kumiliki AK45 wakati wewe sio mwanajeshi. Kwa lugha nyepesi hao sio petty dogs,(sio wa kuishi nao kwenye familia) madhara yake hutayasahau kamwe
Kweli kabisa hawatabiriki, wanaweza kukugeukia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…