mpolekabisa
Senior Member
- Oct 18, 2023
- 161
- 225
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliochukuliwa wakiwa na na miezi miwili walikuwa wakienda laki tano. Kwa sasa wana miezi 3 tutaongea.Mbwa Hao Ndiyo Pesa Ngapi Na Nyongeza Ipo
Maili moja.Kibaha sehemu Gani??.
View attachment 2798119
WANAPATIKANA KIBAHA. KWA SASA WANA MIEZI 3
Kwa yule anayependa mbwa wa kisasa na wanaotimiza majukumu yao, anajua pia wajibu wake wa kuwatunza mbwa ikiwemo chakula kizuri na kinachotosha, chanjo na nk. Ila kwa hawa chanjo muhimu walishapata.Hawa wanakula sana usipo wapa chakula wao watakufanya chakula🤣🤣🤣
Hawa chanjo zote muhimu tayari walishapata. Maziwa wanapata sana, ila mayai mabichi hicho sijawahi kuwapa. Nashukuru kwa ushauri.Cde,
Mbwa wako ni wazuri Sana, jitahidi uwape chanjo mapema na chakula Chao wape kizuri.
Jitahidi uwape maziwa Fresh changanya na mayai mabichi...
Huyu ni dume au jikembwa mzuriView attachment 2798258