Mbwa wazuri wa ulinzi: Cross ya German Sherpherd jike x Belgian Malinois

Bei gani boss? na bado wapo?
Wamebaki watatu. Madume wawili na jike moja. Bei maelewano. Nilianza kuwauza wakiwa na wiki 8 na bei ilikuwa laki tano. Kwa sasa waliobaki wana wiki 13, bei itasogea kidogo mbele. Wana chanjo zote muhimu na wana kadi za kliniki inayoonesha wanavyohudumiwa kiafya. Niko kibaha maili moja!
 
huyo mweusi mpatie dawa ya minyoo ndugu
Mbwa mzuri 4.jpg

Hii ni picha yake ya sasa. Hiyo ya mwanzo huyu mbwa alipitia changamoto kiasi cha kumfanya asile vizuri. Siyo minyoo maana dawa ya minyoo huwa nawapa kwa pamoja kwa mujibu wa maelekezo ya daktari wa mifugo. Hiyo changamoto ilishaisha na sasa yuko vizuri sana!! Kwa sasa ana miezi mitatu (3).
Ila kwa maelekezo ya daktari haitakiwi mbwa awe na uzito wa kupitiliza (over weight), nawapa chakula kizuri kwa kipimo.
 
View attachment 2798902

jambo zuri pia jaribu kuwafunga mkanda shingoni kisha cheni mkuu
 
Dah staki kuharibu biashara ya mtu ila hao mbwa unawatesa asee miezi 3 wako hivyo mbavu zinaonekana mzee hebu wape chakula bora hawana tofauti na mbwa koko tena unaweza kuta koko wanaafya kuliko hao. Mbwa akikonda anakua kama uchafu wamiliki wa mbwa tukiona kama hivi tunasikitika tu
 
Nadhani haujafuatilia post zangu zote humu. Hiyo picha ya kwanza siyo ya sasa hivi na huyo mweusi nimesema alikuwa na changamoto ambayo ilishaisha. Hiyo picha ya awali walikuwa na pungufu ya miezi miwili! Wote wana kadi ya kliniki na chati yao iko kwenye kijani. Na uwe mkweli na muungwana!! Ni mbwa mmoja tu kati ya wote niliokuwa nao ndo alikuwa na changamoto. Labda wewe ni mmoja ya watu wanaoamini kuwa kitambi ni afya bora!! Mtaalam wangu wa lishe ya mbwa huelekeza kumpa mbwa chakula kwa kadri ya umri na uzito! Overweight (kupitiliza uzito haitakiwi kwa mbwa wa ulinzi. Haya waoneshe watu hizo mbavu hapa ambazo wewe tu ndo unaziona, pia picha kwenye post #44.

mbwa wazuri 5.jpg
 
Nadhani haujafuatilia post zangu zote humu. Hiyo picha ya kwanza siyo ya sasa hivi na huyo mweusi nimesema alikuwa na changamoto ambayo ilishaisha. Hiyo picha ya awali walikuwa na pungufu ya miezi miwili! Wote wana kadi ya kliniki na chati yao iko kwenye kijani. Na uwe mkweli na muungwana!! Ni mbwa mmoja tu kati ya wote niliokuwa nao ndo alikuwa na changamoto . Haya waoneshe watu hizo mbavu hapa:
View attachment 2799324
Dah oya kama hapo ndio wako njema na wana miezi 3 alooo unatesa wanyama huyo mweusi bado anaonekana kakonda hana lishe angalia hata mfupa wa kiuno umechongoka, sisemi kwa nia mbaya ila hao mbwa huwapi matunzo mbwa kama huyo analalaje sakafuni au chini ya muembe? Na huwezi onyesha mbavu za mbwa akiwa kakaa hivyo tuma picha za karibu akiwa amesimama nikufunze mbwa anaangaliwaje sio unakurupuka. Sasa mzee wangu hao siku ukikutana na hizo cross zilizotunzwa si utadata. Nisikufiche hao mbwa wanazidiwa na mbwa wangu ambao ni local breed. Kubali kwamba huwatunzi hizo chat usizingatie sana zitakupoteza na asikudanganye mtu mbwa umlishe mpaka azidi uzito ni ngumu kama unawafanyisha mazoezi sasa jitafakari unawapa kipimo na wamekonda kwann usiwaongezee ili hata unaposema unafanya biashara kweli mtu anakuelewa. Yaani akaja mtu anajua mbwa hapo anakuona unawatesa tu.
 
Pole nishakujua!! Hapo ulipo utakuwa na kitambi na unajisifu kuwa na afya njema!! Kaangalie askari wa FFU kama utaona mwenye kitambi!! Unafikiri hawana afya!! Wachokoze uone mtiti wake!! Hivi unadhani nitakuamini wewe au madaktari wa mifugo? Hawa ni mbwa wa kazi na kila siku wanafanya mafunzo na mazoezi!! Wanakula kwa kipimo!! Mchawi utamjua tu!!
 
Hakuna ffu mwenye minyoo na safura. Kubali kuambiwa ukweli unatesa tu wanyama kwenye ukweli nitasema hata ukiniona mchawi
 
Kwa manufaa ya wafugaji wa mbwa wa ulinzi (si wafugaji wa mbwa wa mapambo): Kitaalam, mbwa hapaswi kuwa na uzito uliopitiliza, kama ilivyo kwa watu pia kwa mbwa ni unene wa kuzidi kipimo ni matatizo. Angalia mbwa wafuatao ambao ni pea: Mmoja hana afya kwa kuwa ni mnene kupitiliza, na mwingine ndiyio mwenye afya njema japo kwa macho anaonekana mwembamba kiasi!! Kuna tofauti kati wembamba na kukonda!! Mbwa aliyekonda hawezi kuwa na uchangamfu, wala hana nguvu!!
1698773954975.png
1698773954975.png

1698774054411.png
1698774054411.png

1698774137960.png
1698774137960.png

Katika kila pea ya mbwa hapo juu, yule wa kushoto ndiyo mwenye afya bora na yule wa kulia ndiyo afya mgogoro, japo kwa macho ndiyo anaonekana kunawiri!! Lakini huyo anayeonekana kunawiri chati yake inaonesha yuko kwenye RED!! Sasa mimi nawahudumia mbwa wangu kwa kadri ya maelekezo ya kitaalamu. Yule atakayemnunua akitaka kuja kumnenepesha hilo ni juu yake!! NIMEJIRIDHISHA: Mbwa akila kwa kipimo anakuwa na nguvu, mchangamfu, mwepesi na anapendeza na hawezi kupata uzito wa kupitiliza!!.

What are the risks posed by obesity?​

Obesity shortens a dog’s life and makes them more likely to develop disease. It was always accepted that heavy dogs lived a shorter lifespan than lean dogs, usually by 6-12 months. But a large lifetime study of Labrador Retrievers has found that being even moderately overweight can reduce a dog's life expectancy by nearly two years compared to their leaner counterparts. This is a sobering statistic.
 
Hakuna ffu mwenye minyoo na safura. Kubali kuambiwa ukweli unatesa tu wanyama kwenye ukweli nitasema hata ukiniona mchawi
Hizo picha za mbwa wangu wewe unaona minyoo hapo? Mbwa hawa wana kadi ya kliniki ikionesha matibabu yote na chanjo zote alizopata. Hawawezi kuacha kupewa dawa za minyoo!!! Ni macho yako tu yanayoona minyoo hapo!! Hivi niweze kuwapa chanjo za bei kubwa halafu nishindwe kuwapa dawa za minyoo ambazo bei yake ni ndogo kulinganisha na ile ya chanjo!! Bila shaka kila mtu anakushangaa!! Watu walioshauri kiungwana nilipokea ushauri wao kwa sahukrani, lakini mchawi utamjua tu na mchawi huwa hana aibu!!
 
Hakuna ffu mwenye minyoo na safura. Kubali kuambiwa ukweli unatesa tu wanyama kwenye ukweli nitasema hata ukiniona mchawi
Kwa akili yako wembamba ni dalili ya minyoo na nimekuambia hakuna FFU mnene na hakuna FFU asiye na afya njema, ikitokea hiyo ni changamoto na inashughulikiwa!!!! Kwa akili yako wembamba ni kukonda, na unene ni afya njema!! Ulishawahi kuwaona wanariadha? Je ni wanene? je hawana afya njema?, je hawali vizuri? Jibu ni kwamba aina ya shughuli yao inawapa nidhamu ya ulaji na mazoezi!! Hali kadhalika mbwa wa ulinzi lazima wawe fit muda wote, lazima wafanye mazoezi na lazima wale vizuri kwa kipimo!! NIMEJIRIDHISHA: Mbwa wakila kwa kipimo na wakafanya mazoezi hawawezi kuwa na uzito uliopitiliza (kwenye eneo la RED kwenye chati), ila watakuwa wachangamfu. Mbwa wangu huwezi kudai kwa halali kuwa WAMEKONDEANA, kwa mujibu wa picha (post #50), mchawi utamjua tu!!
Ndiyo maana nimepost picha za pea za mbwa mwenye afya nzuri, japo anaonekana mwembamba na mwenye afya mgogoro japo anaonekana kunenepa!!
 
Sawa
 
Back
Top Bottom