Mbwa wazuri wa ulinzi: Cross ya German Sherpherd jike x Belgian Malinois

Mbwa wazuri wa ulinzi: Cross ya German Sherpherd jike x Belgian Malinois

Hii si Lishe ya Mtoto Kabisa? Matajiri mna raha
Cde,

Mbwa wako ni wazuri Sana, jitahidi uwape chanjo mapema na chakula Chao wape kizuri.

Jitahidi uwape maziwa Fresh changanya na mayai mabichi....

Nakupa week mbili tu watakuwa na afya nzuri Sana

Asante!
 
Hako keusi kaongezee lishe kamekonda sana
Hiyo picha alikuwa na miezi miwili. Kwa sasa ana miezi 3. Mbwa wote wanapatiwa chakula kizuri sana, Ila alipitia changamoto kidogo akawa hapendi kula kama wenzake, changamoto hiyo ilishaisha. Nitapost picha yake ya sasa utamwona, yuko vizuri sana!! Nitapost na clip yake ya hivi karibuni akiwa anamkomalia na anamchachamalia mtu aliyetutembelea. Ukimsikia akibweka utafikiri ni mbwa mkubwa sana!! Ni jasiri usipime!!
 
Ya nimekaona Kako tofauti na wenzie...nawaogopa sana mmbwa siwezi kuwafuga
 
Mbwa wako inaonekana hawapati msosi vizuri. Pengine hata mazingara wanayoishi ni siyo mazuri.
Mbwa mmoja wakati nawapiga picha alikuwa kwenye changamoto hakuwa anapenda kula kama wenzake. Changamoto hiyo ilishaisha. Hiyo picha ni ya mwezi mmoja uliopita, nitapost recent clips & photos! Ninawafugia katika mazingira mazuri sana!! Wanahudumiwa kiafya na Veterinary Doctor. Unakaribishwa kwenye site if you are interested!! Hii project si ya kitoto!!
 
Walivotulia kivulini utafikiri ni yale magari ya private security companies😆😆😆
 
WANAPATIKANA KIBAHA. KWA SASA WANA MIEZI 3
Hawa sio mbwa wazazi wa kijibwa cha Jemima Mrembo?

Back
Top Bottom