Mbwa wazuri wa ulinzi: Cross ya German Sherpherd jike x Belgian Malinois

Mbwa Hao Ndiyo Pesa Ngapi Na Nyongeza Ipo
 
Hawa wanakula sana usipo wapa chakula wao watakufanya chakula🤣🤣🤣
 
Cde,

Mbwa wako ni wazuri Sana, jitahidi uwape chanjo mapema na chakula Chao wape kizuri.

Jitahidi uwape maziwa Fresh changanya na mayai mabichi...
Hawa chanjo zote muhimu tayari walishapata. Maziwa wanapata sana, ila mayai mabichi hicho sijawahi kuwapa. Nashukuru kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…