pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,559
Kumkaribisha kwako ndo kujali sio....pole yako jingalaoWasingemkaribisha mngesema serikali haijali...Hamna ajenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumkaribisha kwako ndo kujali sio....pole yako jingalaoWasingemkaribisha mngesema serikali haijali...Hamna ajenda
Good.E fm
Sasa JF sio mtandao?SIO KWELI NI HABARI ZA UONGO MIMI NIMEINGIA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI KUTAFUTA UVUMI HUO, HAKUNA KITU KAMA HICHO
Chanzo ni JFKama ni kweli kila la kheri, ila source yako ni nini?
Kaka hii ya zamani sana brother
Nimejaribu kuangalia kwenye website ya AS ROMA bado hawajapost chochote kuhusu huyo mchezaji. Labda kwa vile ni tetesi tusubiri tuone.SIO KWELI NI HABARI ZA UONGO MIMI NIMEINGIA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI KUTAFUTA UVUMI HUO, HAKUNA KITU KAMA HICHO
hii habari yako toka samata ana miaka 21 na bado yupo mazembe na ilikuwa Milan hawa wenzako wanasema Roma acheni uzushi
Ilikuwa ni katika kutafuta ukweli, lakini mpaka muda huu kwenye website ya AS Roma hawajapost chochote.Kaka hii ya zamani sana brother
Watapost kaka , hata mbwana mwenyewe hajaandika kitu.. JF ni be first to know.... Siku zote ...Ilikuwa ni katika kutafuta ukweli, lakini mpaka muda huu kwenye website ya AS Roma hawajapost chochote.
Ukisoma bandiko linajieleza vizuri, yaani hata mimi sina uhakika na huo uzushi. Na hilo linatokana na kujaribu kufuatilia website ya AS Roma hajapost chochote kuhusu huyo mchezaji. Kwa kuwa ni tetesi tusubiri tusikie kitakachojiri.hii habari yako toka samata ana miaka 21 na bado yupo mazembe na ilikuwa Milan hawa wenzako wanasema Roma acheni uzushi
Kama ndo hivyo basi ngoja tuendelee kuota.Chanzo ni JF