Mbwana Ally Samatta kujiunga na klabu ya AS Roma ya Italy

Mbwana Ally Samatta kujiunga na klabu ya AS Roma ya Italy

Status
Not open for further replies.
SIO KWELI NI HABARI ZA UONGO MIMI NIMEINGIA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI KUTAFUTA UVUMI HUO, HAKUNA KITU KAMA HICHO
Mkuu upo sahihi kabsa mimi nimeingia kwenye website ya AS ROMA sijaona hii habari,labda tusubiri
 
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta anayechezea RK Genk ya Ubelgiji, kuelekea Jijini Rome kukamilisha deal la usajili wake kwenye klabu ya AS ROMA.

Wapenzi wa Masuala haya ,,kaa mkao wa kula,,,,,,,,,

Baada ya kuenea tetesi za hapa nchini na nje ya nchi kua mchezaji wetu wa kutumainiwa mbwana ali samatta kutakiwa na ac roma ni uzushi na uongo mkubwa akiwa kama meneger jamali kasongo anakanusha vikali kama habar hizo ni za uongo na kama ni kweli angezipata yy kama meneger wake hivyo watanzania tuzipuuze
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom