KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Ngoja tusubiri tuone.Watapost kaka , hata mbwana mwenyewe hajaandika kitu.. JF ni be first to know.... Siku zote ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubiri tuone.Watapost kaka , hata mbwana mwenyewe hajaandika kitu.. JF ni be first to know.... Siku zote ...
Ha hahMbona mwenyewe kasema hajui kitu?
Kitenge katuuza.
Mkuu upo sahihi kabsa mimi nimeingia kwenye website ya AS ROMA sijaona hii habari,labda tusubiriSIO KWELI NI HABARI ZA UONGO MIMI NIMEINGIA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI KUTAFUTA UVUMI HUO, HAKUNA KITU KAMA HICHO
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta anayechezea RK Genk ya Ubelgiji, kuelekea Jijini Rome kukamilisha deal la usajili wake kwenye klabu ya AS ROMA.
Wapenzi wa Masuala haya ,,kaa mkao wa kula,,,,,,,,,

Analea wake na watoto...huko kisarawe!! Ngasa alijichanganya sanaYupo wapi Ngasa?
Ngassa anakula watoto wa Ki-Zulu huko South, hana Habari Na issue Za ulaya kabisa!Yupo wapi Ngasa?