Mbwana Ally Samatta kujiunga na klabu ya AS Roma ya Italy

Status
Not open for further replies.
Zitakuwa ni habari njema sana kwa wanamichezo nchini.
 
SIO KWELI NI HABARI ZA UONGO MIMI NIMEINGIA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI KUTAFUTA UVUMI HUO, HAKUNA KITU KAMA HICHO
 
SIO KWELI NI HABARI ZA UONGO MIMI NIMEINGIA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI KUTAFUTA UVUMI HUO, HAKUNA KITU KAMA HICHO
Sasa JF sio mtandao?
Usipingane na JF hizi taatifa ni za kweli ninetoka kuongea na dalali wa samatta muda si mrefu..
Usicheze na Jf
 
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta anayechezea RK Genk ya Ubelgiji, kuelekea Jijini Rome kukamilisha deal la usajili wake kwenye klabu ya AS ROMA.

Wapenzi wa Masuala haya ,,kaa mkao wa kula,,,,,,,,,
 
SIO KWELI NI HABARI ZA UONGO MIMI NIMEINGIA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI KUTAFUTA UVUMI HUO, HAKUNA KITU KAMA HICHO
Nimejaribu kuangalia kwenye website ya AS ROMA bado hawajapost chochote kuhusu huyo mchezaji. Labda kwa vile ni tetesi tusubiri tuone.
 
Ilikuwa ni katika kutafuta ukweli, lakini mpaka muda huu kwenye website ya AS Roma hawajapost chochote.
Watapost kaka , hata mbwana mwenyewe hajaandika kitu.. JF ni be first to know.... Siku zote ...
 
hii habari yako toka samata ana miaka 21 na bado yupo mazembe na ilikuwa Milan hawa wenzako wanasema Roma acheni uzushi
Ukisoma bandiko linajieleza vizuri, yaani hata mimi sina uhakika na huo uzushi. Na hilo linatokana na kujaribu kufuatilia website ya AS Roma hajapost chochote kuhusu huyo mchezaji. Kwa kuwa ni tetesi tusubiri tusikie kitakachojiri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…