Nimeona heading kwenye gazeti la dimba la leo,je alipitia uwanja gani?????mwakyembe POYEEEEEEEEE
Sponsa wao naye si kakamatwa Italy?
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.
Kwa haraka kabisa naona dawa nyingi ziko nchini ukizingatia ndiyo ulikuwa uchochoro wa kuzivushia nchi nyingine, wahusika wako kwenye harakati ya kuzitoa maana wamesha zinunua kwa bei mbaya hivyo watatafuta kila namna mtu atoke nazo wataenda mpaka kuchukua utaalam Nigeria au kokote kule kama siyo kuwadhuru wanao dhibiti hii biashara
Wanasema border ya Namanga........Ameingia na kutoka kama mara tatu FASTA FASTA...
Chanzo cha habari bado hakijawekwa wazi kwa hiyo habari hii mimi naona kama uzushi bado. Ni magazeti gani hayo yaliyoandika habari hii??
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.
Source: magazeti ya leo
gazeti la dimba la 06/09/2013
ukurasa wa 1
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.
Kwa haraka kabisa naona dawa nyingi ziko nchini ukizingatia ndiyo ulikuwa uchochoro wa kuzivushia nchi nyingine, wahusika wako kwenye harakati ya kuzitoa maana wamesha zinunua kwa bei mbaya hivyo watatafuta kila namna mtu atoke nazo wataenda mpaka kuchukua utaalam Nigeria au kokote kule kama siyo kuwadhuru wanao dhibiti hii biashara
ndo tuone sasa,unga haupiti airport,,,unaopita pale ni kuduchu sana,,,,,halaf hii bizness haina age
Duh nchi hii too much wengine walileta hoja eti ni passport za tanzania ila wengi si watanzania, nawaambia nendeni kinondoni mkajionee hawa jamaa wanavyojiachia na sembe zao, huwa najiuliza hadi mi mpita njia nimeona huyu nzowa kapatwa na nini?