Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

hizi single mpya nina wasi wasi nazo zinataka kufunika kitu maana sie wabongo kwa kupenda habari mpya aaah tuko fitiiiii:smile-big:
 
Punda wa Muda mrefu wa Mh.Mbunge aliyekubali tumbo lake kugeuzwa fuko la kusafirishia Sembe!
 
Sponsa wao naye si kakamatwa Italy?

Mkuu Kongosho tupe raha kwa kuweka vitu hadharani! Ukifahamucho wewe, mwingine hakifahamu! Huyo sponsa wa madude haya haramu ambaye naye kakamatwa Italy ni nani?
 
Kamata Piga viboko saaaana Pika kwa miaka mingi sana Piga sana hawa wajinga wajinga
 
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.

Kwa haraka kabisa naona dawa nyingi ziko nchini ukizingatia ndiyo ulikuwa uchochoro wa kuzivushia nchi nyingine, wahusika wako kwenye harakati ya kuzitoa maana wamesha zinunua kwa bei mbaya hivyo watatafuta kila namna mtu atoke nazo wataenda mpaka kuchukua utaalam Nigeria au kokote kule kama siyo kuwadhuru wanao dhibiti hii biashara
 
Chanzo cha habari bado hakijawekwa wazi kwa hiyo habari hii mimi naona kama uzushi bado. Ni magazeti gani hayo yaliyoandika habari hii??
 
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.

Kwa haraka kabisa naona dawa nyingi ziko nchini ukizingatia ndiyo ulikuwa uchochoro wa kuzivushia nchi nyingine, wahusika wako kwenye harakati ya kuzitoa maana wamesha zinunua kwa bei mbaya hivyo watatafuta kila namna mtu atoke nazo wataenda mpaka kuchukua utaalam Nigeria au kokote kule kama siyo kuwadhuru wanao dhibiti hii biashara

ni kweli usemayo,mzigo upo mwingi sana,maana njia kuu ya kuuingizia hapa ni NJIA YA MAJI
 
Duuh, na mimi nilikuwa nina mzigo wangu wa sembe sasa sijui ntaupitishia wapi..naombeni ushauri wenu wana jamvi...ni viroba viwili tu vya kilo 25. hivi nikibeba kwa guta watanishitukia?
 
Kuna watu hawaogopi dah! watu wanadakwa daily lakini bado wanabeba sembe
 
ndo tuone sasa,unga haupiti airport,,,unaopita pale ni kuduchu sana,,,,,halaf hii bizness haina age

Hii nakubaliana nawe Mkuu maana kiasi kama kilichokamatwa LINDI/MTWARA au ule wa Tanga (zaidi ya Kilo 50) huwezi kuniambia umepitishwa uwanja wa ndege!! Njia ni nyingi za kuingiza hii misumu
 
Duh nchi hii too much wengine walileta hoja eti ni passport za tanzania ila wengi si watanzania, nawaambia nendeni kinondoni mkajionee hawa jamaa wanavyojiachia na sembe zao, huwa najiuliza hadi mi mpita njia nimeona huyu nzowa kapatwa na nini?

watasema matumla fake
 
Back
Top Bottom