Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Wewe unaongea kama kasuku una ushahidi?

Una ushahidi gani kwamba unayemuita baba yako ni kweli babako?kacheck DNA siyo unachagua vitu vya kuamini bila ushahidi
 
Shomari Kimbau mtoto wa mbunge wa zamani Mafia(CCM) na mamake alikua mbunge wa viti maalum huko huko na kaka yake alikua Diwani wa Kijitonyama
kama ndo huyu aliyezungumziwa hapo chini sasa naanza kuipata picha
 
Duuh, na mimi nilikuwa nina mzigo wangu wa sembe sasa sijui ntaupitishia wapi..naombeni ushauri wenu wana jamvi...ni viroba viwili tu vya kilo 25. hivi nikibeba kwa guta watanishitukia?
Mi nakushauri uusonge kama ugali then uule nafikiri utapita salama halafu uje ku.upload kama kimba
 
Kwanini wale mateja hawakamatwi na ndiyo wenye kujua sembe wanaipata wapi,tana wanatumia hadharani pale opposte na jengo la umoja wa vijana kuna bustani ya jiji wamekaa pale wanafanya vitu vyao, kweli Polisi hawajui au hawapiti pale?Serikali iliyo na dhamira ya kweli ingewasafisha mateja woote barabarani halafu wakafunguliwa mashtaka ya kutumia madawa ya kulevya au hakuna mashataka ya kesi ya namna hii ya kutumia au mpaka kidhibiti?kidhibiti ukimwona tu unajua huyu mtumiaji sasa ni kumchukua na kwenda kumpima kwa daktari kama wanavyopimwa wale wabakaji akionekana mtumiaji afungwe. mbona mbakaji lazima daktari athibishe .. Huo ndiyo ushauri wangu tunajua serikali imechoka tuisaidie kwa mawazo au kama kuna mtaji wa wanasiasa kwenye biashara hiyo ndiyo maana uchaguzi ukifika kuna kuwepo na pesa chafu watu wanakozitoa hazijulikani
 
Kama movie vile
hii ndio ukweli halisi kuna mtu alinipa habari hii jana ..nikamwmambia asubiri niwasiliane na mtu wa karibu kunihakikishia hii taarifaa...mnamo saa nne nilifanikiwa kupigiwa simu na mh mmoja na kusema kwelikijana wamemweka ndan anasikilizia maumivu kinachoendelea

baada ya muda nikanunua gazeti la bingwa ukurasa wa 3 naona mbwana matumla akamatwa na madawa ya kulevya hispania...ndugu wapikipigiwa simu wakipokea wanapotambulishwa ni mwandishi wa habari wanaka timu na baadae unapowapigia aipokelewi kabisa ikiwemo mh rashid matumlaaaaa

sasa naona wanamichezi wa fani mbali mbali wameamua rasmi kuingia kucheza na madawa ya kulevya
swali langu je kuna kiwanda hapa tanzania??na kama akipo zinatokea wapi kwa nini na hizi boda zisifungwe

swali la pili

mbwana matumla amepitia uwanja wa ndege wa jnia...swali linakuja amepita lini na amepitaje???
Kingine ambacho kimenifanya tuulizane wana jamvi yule mwanamke wa kinigeria aliamua kufunguka haya madawa kaja nayo kutoka nigeria na yalikuwa transit to italia

swali linakuja najisi kiingiacho na siokitokacho je inawezekana tunahangaika na wanaopita jnia kwenda nje huku viroba vya unga vikipitishwa ngwe ile ile kutokea nje na kuja dar??
Huoni mh mwakyembe saa ya kudili pia na kila anaekuja kutoka nje ya nchi na kama inawezekana hata wale wanaotoka nje mizigo yao ipitishwe kwenye machine kuhakiki nini wamebebea na hii itawasaidia hata upande wa revenue kwa watu wa custom

ndugu zangu familia ya matumla poleni sana sana najua mko kwenye wakati mgumu wa maombolezo sijajua sheria zao hispania zinasemaje ila nimeshukuru akuangukia uchina ama nchi zetu za kiarabu kwa kweli tungeishia kupeleka sandaa tu ya kutumika wakati wa mazishi
 
Ukijaribu kuconnect dots utakumbuka kuna kipindi yule kiongozi wa chama cha ngumi nae alidakwa na ngada thou sijajua hatma yake ilikuaje.

Vijana wale wamefungwa huko ughaibuni visiwani wananyea debe, jamaa yeye alikuw akiongozi tu wa msafara lakini inasemekana yey ndiye mwenye mzigo.
 
Tubuni na kuacha dhambi kwa kuwa ule mwisho umekaribia.hii yote ili yatimie yaliyoandikwa na manabii ya kuwa siku za mwisho watu watakuwa wenye kupenda pesa.
 
Sembe sasa hv halina mwenyewe, yoyote anabeba! bongo bora ingekuwa na sheria kama za china labda ingesaidia.
 
sembe sasa hv halina mwenyewe, yoyote anabeba! Bongo bora ingekuwa na sheria kama za china labda ingesaidia.

nime like sio kwa furaha bali kwakuwa napenda sheria ila sheria yakoo hii sidhani kama ungekuwa na wabunge duniani nikimnukuu mh lukuvi""tukianza kutajana wabunge wengi tu wanashiriki kusafirisha sembe"""mwisho wa kunukuu ..sasa awa ni wabunge hujui uko juuukianza kuchinja unaweza usiwe hata na waziri ,waziri mkuu ...nw wengineo .....nafananisha (sio kweli)...nanukuu
 
Magari mazuri VOGUE SPORT na mademu wenye VIBOKSI ndio wana tuponza
 
Wacha tu wakate timu iko mida wanamichezi wapokea jaribu kuwapigia timu tena.
 
Magari mazuri VOGUE SPORT na mademu wenye VIBOKSI ndio wana tuponza

chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T,nina stock home ya mistari kama mji mkuu wa sweeden,naona magari kibao road mie sina hata moja au nizimeze kete au nigeuze usiku kuwa mchana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…