naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,083
Wewe unaongea kama kasuku una ushahidi?
Una ushahidi gani kwamba unayemuita baba yako ni kweli babako?kacheck DNA siyo unachagua vitu vya kuamini bila ushahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaongea kama kasuku una ushahidi?
Unasemaje we Mala year? Umeelewa nilichoandika kweli?
Mi nakushauri uusonge kama ugali then uule nafikiri utapita salama halafu uje ku.upload kama kimbaDuuh, na mimi nilikuwa nina mzigo wangu wa sembe sasa sijui ntaupitishia wapi..naombeni ushauri wenu wana jamvi...ni viroba viwili tu vya kilo 25. hivi nikibeba kwa guta watanishitukia?
Akihojiwa mara oh ndondi zinalipa mara oh blah blah nyingi kumbe kontena aka punda.
Ukijaribu kuconnect dots utakumbuka kuna kipindi yule kiongozi wa chama cha ngumi nae alidakwa na ngada thou sijajua hatma yake ilikuaje.
Shomari Kimbau mtoto wa mbunge wa zamani Mafia(CCM) na mamake alikua mbunge wa viti maalum huko huko na kaka yake alikua Diwani wa Kijitonyama
kama ndo huyu aliyezungumziwa hapo chini sasa naanza kuipata picha
View attachment 110761
sembe sasa hv halina mwenyewe, yoyote anabeba! Bongo bora ingekuwa na sheria kama za china labda ingesaidia.
Magari mazuri VOGUE SPORT na mademu wenye VIBOKSI ndio wana tuponza