chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T,nina stock home ya mistari kama mji mkuu wa sweeden,naona magari kibao road mie sina hata moja au nizimeze kete au nigeuze usiku kuwa mchana?
hivi nzowa huwa anapita humu???
Watu kama nyinyi ni hasara kabisa kuwa kwenye jamii hii rudi huko kwenye kwenye migodi
China ipi mkuu..., maana china kuna majimbo ukikamatwa na sembe hawana sheria kali na kuna majimbo ukikamatwa na sembe hawacheki na wewe mfano hong kongSembe sasa hv halina mwenyewe, yoyote anabeba! bongo bora ingekuwa na sheria kama za china labda ingesaidia.
Theema bathii thpontha wao ni nani?Sponsa wao naye si kakamatwa Italy?
Duh huyo mwanangu mwenyewe Mbwana M mara ya mwisho tunaachana Mkoani Moro kata ya Mgeta kijiji cha Kikeo tulikuwa Camp mgodini na wana kibao au ameona madini hayalipi?
na ndio maana wakienda wanapigwa, yani mtu abebe kete tumboni karibia kilo nzima lalfu akifika ahaharishe alafu aingie ulingoni, unategemea nini hapo.
Halafu nackia haziingizwi kw kumezwa mdomoni!! ........
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.
Source: magazeti ya leo
Mbona hatusikii kukamatwa kwa hao wawatumao!!!