Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T,nina stock home ya mistari kama mji mkuu wa sweeden,naona magari kibao road mie sina hata moja au nizimeze kete au nigeuze usiku kuwa mchana?

umesahau na umri umeenda basi hata dalili hakuna tutaishia tu kuwasikia na vi kg's vyao
 
Ndio maana timu zetu za Taifa hazifanyi vizuri!!!!!!!!
 
.......si hata yule sijui raisi wa ndoni aliwahi kukamatwa!!! kumbe basi wote tu ni chain moja!!!
 
Mashine bila maadili ni bure, na hawa maofisa bado wanasikilizia moto wa Mwakyembe upoe waendelee sema huko nje ndio tumeshajulikana tu.
 
Watu kama nyinyi ni hasara kabisa kuwa kwenye jamii hii rudi huko kwenye kwenye migodi

Ni kipi hasa unachonitafuta Mrembo? Make mi nliandika vle ilivyokuwa ghafla nkaona umepenya ka Ushuzi ku replay huku unaponda eti sina hata baiskeli kwani unanijua mimi wewe?
 
Sembe sasa hv halina mwenyewe, yoyote anabeba! bongo bora ingekuwa na sheria kama za china labda ingesaidia.
China ipi mkuu..., maana china kuna majimbo ukikamatwa na sembe hawana sheria kali na kuna majimbo ukikamatwa na sembe hawacheki na wewe mfano hong kong
 
Hawa watu hawastahili huruma hata kidogo kwani wao hawana huruma kwa vijana wenzao wanao angamia kwa hayo madawa. IKIBIDI WALE MVUA ZA MILELE GEREZANI.
 
Jamani kweli dunia imeisha. Huyu jamaa nayeye kaingi huku kwenye midharati/ Aisee
 
Duh huyo mwanangu mwenyewe Mbwana M mara ya mwisho tunaachana Mkoani Moro kata ya Mgeta kijiji cha Kikeo tulikuwa Camp mgodini na wana kibao au ameona madini hayalipi?

Kweli bro mbwana alikuwa moro hata mm nilikuwepo na watoto wa keko wengi tu,hila me nnavyomjua mbwana hawezi kukubali kubebeshwa madawa,inawezekana akawa amebebeshwa bila kujua coz jamaa ni muoga sanaa
 
Life jamani, Kila mtu anataka aendeshe Prado, Vogue ajenge kigorofa Mbezi beach/Boko awe na nyumba ndogo hahahah
 
Back
Top Bottom