Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya Spain.

Yametimia.
Jamani, hivi mbona hatukomi tu?
Dah!
Haya bhana.
 
Lipi sasa? Maana magazeti kibao bongo...
 
Mbwana Matumla akamatwa na madawa ya kulevya nchini Hispania.

Source: magazeti ya leo
 
Wabongo ni WAGUUUUUMUUUUI....ukiona mwenzio ananyolewa...sasa sijui hajui wenzie wanakamatwa
 
Duh nchi hii too much wengine walileta hoja eti ni passport za tanzania ila wengi si watanzania, nawaambia nendeni kinondoni mkajionee hawa jamaa wanavyojiachia na sembe zao, huwa najiuliza hadi mi mpita njia nimeona huyu nzowa kapatwa na nini?
 
Nimeona heading kwenye gazeti la dimba la leo,je alipitia uwanja gani?????mwakyembe POYEEEEEEEEE
 
Mbona hatusikii kukamatwa kwa hao wawatumao!!!
 
Hao ni punda tu. Mbona wahusika wanajulikana lakini wanaogopwa? Hii nchi ilishaoza.
 
Back
Top Bottom