Mbwana Samata: Special Thread

Mbwana Samata: Special Thread

[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
avfcofficial-20200301-0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah huyu jamaa ni good header sana duh
 
Naishauri Serikali imualike Mbwana Samata Walau Kwa dhifa maalum Ikulu Jamani nikielelezo tosha cha Taifa huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap Roma kasema kweli jamaa kama vile hapati mipira ya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sio mawazo ya kiuanamichezo. Ni ya kiubinafsi zaidi. Nani kakwambia Samatta ndio kawekwa kuwa mfungaji pekee wa timu? Pale nafasi inaporuhusu mbona anapewa tu? Tuache kulalamika ovyo kwa kuwa tu ni Mtanzania mwenzetu.
 
Hili la kuwafungulia milango wengine ni jukumu kubwa mno! Kila la kheri
Kwa lugha za kihuni zinavyotumiwa na wabongo kwenye twitter ya Aston Villa, sioni hili likiwezekana.
 
Asante Sammata unawakilisha nchi vema, ushauri wangu, league ya England ni ngumu, unatakiwa kucheza total football, yani kukaba na pia kufunga. Watanzania wote tupo nyuma yako.
Wewe umeshauri vizuri. Ningefurahi na vijana wengine wangeelewa hivi hivi na si kulalamika eti Samatta hapewi mipira.
 
Back
Top Bottom