Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Naanza kuamini Kati ya watanzania 10 , 9 ni wachawiHata hapa huwa tuna shangaana hivi Fulani imekuwaje ameachwa... Fulani amepataje namba....
Samatta huyu aliye enda ulaya sio sawa na yule aliye kuwa winga teleza pale simba yule alikuwa kama singano, kama ngasa wawakati huo... Ana mbio ana chenga... Kapelekwa kati basi amekuwa mvivu amekuwa wa kusubiria vya kutenga...
Nazani ndio maana hata timu ya taifa watanzania wengi nao wamemlalamikia, hivyo sio uchawi mchawi ni yeye mwenyewe
Hata hasheem alifika level kama yake sasa alivyo polomoka yeye mwenyewe ana fahamu...
Ukilegeza tu basi umekwisha... Afanyekazi ajitume...
Wakina Paulsens walio wahi kuwa makocha wa timu yetu ya taifa walimuacha sababu yakuwa ni mzigo katika timu...
Mara mia pale Genk angekuwepo Msuva sio huyu Samatta wa sasa...
Sent using Jamii Forums mobile app