Mbwana Samatta Afunga Ndoa na Naima Omary. Tunawatakia Kila la Heri Katika Ndoa Yenu. Hongereni Sana.

Uko sahihi kabisa. Katika vitu navyoonea wivu waislam ni suala la ndoa. Harusi zao zipo simple and clear. Hakuna ujinga ujinga wa vikombwelezo visivyo na maana. NB: Hapa sinzungumzii wale waislam walioingia kwenye klabu ya ndoa zenye vikombwelezo kama wakristo.
Za waislamu hazina mbwembwe sababu zingekuwa nazo mume angefilisika hadi.afikishe wake wanne kila mmoja akimfanyia sherehe ya nguvu si atakuwa maskini.

Wakristo Ni.mke mmoja hivyo mke hufanyiwa sherehe ya uhakika.
Halafu kwa waislamu talaka nje nje mtu anaogopa kugharimia mtu ambaye Hana uhakika naye ataishi naye muda gani.
Ndoa za kiislamu za kutizamana kimachale machale kila mtu haelewi mwenzie atachomoa betri lini.
 
Mkuu tukiacha mambo mengine mimi waislam katika mambo nayowakubali na kuwaonea wivu ni NDOA na MISIBA

Yaan hawana mbwembwe kabisa
 
Mbona Mwanafalsafa alifunga ndoa baada ya kuishi na kuzaa na mke wake na alifanya sherehe.
Wakristo huwa hawafungishi ndoa watu wa aina hiyo huwa tu wanabariki mahusiano yao .Makanisa mengine ni wakali Kama pilipili hawaruhusu mwanamke aliyezaa kuvaa hata shela anaenda time na mavitenge Yake na mwanaume hata suti haruhusiwi kuvaa .
 
Za waislamu hazina mbwembwe sababu zingekuwa nazo mume angefilisika hadi.afikishe wake wanne kila mmoja akimfanyia sherehe ya nguvu si atakuwa maskini.

Wakristo Ni.mke mmoja hivyo mke hufanyiwa sherehe ya uhakika.
Halafu kwa waislamu talaka nje nje mtu anaogopa kugharimia mtu ambaye Hana uhakika naye ataishi naye muda gani.
Ndoa za kiislamu za kutizamana kimachale machale kila mtu haelewi mwenzie atachomoa betri lini.
Nimezungumzia ufungaji wa ndoa. Hayo ya baada ya ndoa au wake wangapi siyo mjadala wangu.
 
Uko sahihi kabisa. Katika vitu navyoonea wivu waislam ni suala la ndoa. Harusi zao zipo simple and clear. Hakuna ujinga ujinga wa vikombwelezo visivyo na maana. NB: Hapa sinzungumzii wale waislam walioingia kwenye klabu ya ndoa zenye vikombwelezo kama wakristo.
Tumsifu yesu kristoo
 
Back
Top Bottom