Mbwana Samatta Afunga Ndoa na Naima Omary. Tunawatakia Kila la Heri Katika Ndoa Yenu. Hongereni Sana.

Mbwana Samatta Afunga Ndoa na Naima Omary. Tunawatakia Kila la Heri Katika Ndoa Yenu. Hongereni Sana.

Naambiwa Hapa Kuna Mto Ukinywa Maji Unazaa Watoto Mapacha, Ni Vile Mke Wangu Ni Mzee Lakini Tungekwenda Kunywa . Ndugu Zangu Waandishi Wa Habari Mkanywe Na Wengine Mkizaa Mapacha Tunaongezeka
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Naomba unielekeze huo mto kiongozi. Natanguliza shukran zangu kwako. Ahsante.
 
Hivi huyu jamaa si alikuaga na mchumba wa kizungu au nimechanganya?!
Kipindi yupo TP mazembe niliona picha zake na mzungu. Inaonekana alikua na huyu mama watoto wake kabla ya mzungu. Inawezekana alienda kumtengeneza arudi kwenye mstari [emoji23][emoji23][emoji23]. wanawake wa kiswahili ni hatari sana
 
Mtu anafungaje ndoa wakati walikuwa wakiishi wote na wamezaa? Aliiona aibu kuwa akisema anaomba mchango wa Kufunga ndoa watu wangemzodoa.Hamna Cha Kufunga ndoa hapo Ni umaruhuni tu.
Em futa kwanza machozi halafu ongea vizuri tukuelewe.
 
Kipindi yupo TP mazembe niliona picha zake na mzungu. Inaonekana alikua na huyu mama watoto wake kabla ya mzungu. Inawezekana alienda kumtengeneza arudi kwenye mstari [emoji23][emoji23][emoji23]. wanawake wa kiswahili ni hatari sana

Hahahahah damu nzito kuliko maji mama...!
 
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa October 10 2019 alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Naima Omary, Samatta alifunga ndoa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu wake wachache wa karibu.

Naima na Samatta kabla ya kufunga ndoa walibahatika kupata watoto wawili wa kiume ambaye ni mkubwa na anajulikana kwa jina la Karim na mtoto wa kike, hata hivyo kwa upande wa wachezaji ndoa hiyo ilihudhuriwa na Thomas Ulimwengu, Himid Mao na Faraj Kabaly.

Tunawatakia kila la heri katika ndoa yenu.

View attachment 1229766View attachment 1229767View attachment 1229768View attachment 1229769View attachment 1229770

Watu wenye akili nyingi wapongezwe sana .Ndoa haitaki kick inataka heshima so misifa yakijingajinga
 
Ni ajabu kuwa mwanadamu katika maumbile yake ya papatiko anakuwa ni mwenye kujiingiza katika maangamivu. Ni ajabu kuona mtu anazini na mchumba wake na hali anajua atamuoa na hivyo inasikitisha kuona mwanaadam alivyo na uchu wa maasi na kukosa subira kwa jambo ambalo baada ya muda mfupi litakuwa halali kwake kishari'ah,,
 
Back
Top Bottom