Mbwana Samatta ajeruhiwa vibaya na Jiwe kichwani kwenye mechi Lubumbashi

Mbwana Samatta ajeruhiwa vibaya na Jiwe kichwani kwenye mechi Lubumbashi

El Toro ahsante kwa hii taarifa.Jana nilijua tp mazembe walicheza ila sikuwa na taarifa za hili tukio.Mara moja tunawasiliana na klabu lubumbashi tujue nini kinaendelea kwa kijana wetu.

Asante sana President Jamal Malinzi kwa ufuatiliaji. JF idumu milele kwani imekuwa chanzo cha taarifa nyeti kuzidi hata vyombo vya habari vya hapa Tanzania.
 
kwani TP mazembe anafanya nini?

Ndo umuulize yeye sasa. Kwa hiyo ndoto ya samatta ni kuchezea simba au yanga!!!!!!.....HIZI NDO TUNASEMA AKILI ZA KUAZIMA. Hata km ni ushauri sio kukubali kila ushauri. Mfano mtu anakwambia jilipue ili uende peponi na wewe unaua wenzako kwa kujilipua pamoja nao. Hapo unakuwa hujatumia akili yako sawasawa
 
Samatta;"najuta kwanini sikupitia Yanga Leo hii ningekuwa kama nonda Shabani".mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom