stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Mwambie huyo
Tena Sweden kwa kina Zlatan Ibrahimovic a.k.a Clement Kahabuka Ibrakadabra
Kama hujui bora unyamaze tuu BOBAN kacheza
Aliumia jana kwenye mazoezi hivyo atakosa friendly leo na Sion na Timu ya Frankfurt ya Ujerumani kesho rejea mwanzo mwa thread nimeupdateNasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?
Haya mahaba yenu ya kijinga ndo maana hamna maendeleo, Haruna Moshi Boban, Seleman Matola, Henry Joseph, Shomari Kapombe, Emmanuel Okwi, n.k wamechezea timu gani na wako wapi wakifanya nini? HAPA NI MCHEZAJI KUJITAMBUA kama angekalia kuvuta mibhangi kama hao wenzake hakuna kitu!!!!
Alicheza miezi mingapi?
Aliumia jana kwenye mazoezi hivyo atakosa friendly leo na Sion na Timu ya Frankfurt ya Ujerumani kesho rejea mwanzo mwa thread nimeupdate
Nasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?
Naona swali jingine tena limekuja teh teh teh,,,alicheza msimu mzima
Haha.. wanaposema "kamanda", wanamaanisha cheo chake ni "kamanda wa jeshi la CSKA Moscow"
Ah Wapi hata nusu haukufika akawahi kuja kuvuta bangi pale mawela!!
Henry Joseph naye narudi,Kapombe hata mwaka hakufikisha!!
msijisifie hamjafanya chochote
tunakutakia kila la kheri dogo mungu akutangulie ututue kimasomaso tukuone ulaya
Matola na Henry Joseph wameenda umri ukiwa ushawatupa mkono lakini ni wachezaji waliojitambua hao wengine hatujui maswahibu yaliyo wakuta. Sasa nyie Kandambili wachezaji wanaishia kwenye Uwanja wa Manungwi na Azam complex
hongera mrisho ngassa kwa kuoa