Mbwana Samatta akiwa majaribioni CSKA Moscow

Mbwana Samatta akiwa majaribioni CSKA Moscow

Mwambie huyo…
Tena Sweden kwa kina Zlatan Ibrahimovic… a.k.a Clement Kahabuka Ibrakadabra

Na hapo hatujawataja waliocheza Daraja la kwanza kina Henry Joseph Shindika, Shekhan, Machuppa and so many
 
Boban-Giffle IF Sweden (kama sijakosea jina la timu)
Matola-Supersport Utd South Africa
Okwi-Tunisia
Kapombe-Daraja la Pili huko Ulaya…

Matola Kocha sasa hivi…
Okwi bado anakipiga pale "Tanzania Home of Samba"Simba Sc…
Kapombe yupo kwa Tajiri Bakhresa…
 
Nasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?
Aliumia jana kwenye mazoezi hivyo atakosa friendly leo na Sion na Timu ya Frankfurt ya Ujerumani kesho rejea mwanzo mwa thread nimeupdate
 
Haya mahaba yenu ya kijinga ndo maana hamna maendeleo, Haruna Moshi Boban, Seleman Matola, Henry Joseph, Shomari Kapombe, Emmanuel Okwi, n.k wamechezea timu gani na wako wapi wakifanya nini? HAPA NI MCHEZAJI KUJITAMBUA kama angekalia kuvuta mibhangi kama hao wenzake hakuna kitu!!!!

Matola na Henry Joseph wameenda umri ukiwa ushawatupa mkono lakini ni wachezaji waliojitambua hao wengine hatujui maswahibu yaliyo wakuta. Sasa nyie Kandambili wachezaji wanaishia kwenye Uwanja wa Manungwi na Azam complex
 
Nimekusoma Mkuu. Ila hao waongeaji waliakuwa wanalitaja jina lake na Tanzania. Inaoanekana timu ya Warusi wqnaweza kushinda dau, na hivi Putin anataka kutua Bongo......

Ni timu nzuri sana na ikiwana wachezaji wengi wa timu ya Taifa ya Uusi.

Aliumia jana kwenye mazoezi hivyo atakosa friendly leo na Sion na Timu ya Frankfurt ya Ujerumani kesho rejea mwanzo mwa thread nimeupdate
 
Nasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?

Haha.. wanaposema "kamanda", wanamaanisha cheo chake ni "kamanda wa jeshi la CSKA Moscow"
 
Naona swali jingine tena limekuja teh teh teh,,,alicheza msimu mzima

Ah Wapi hata nusu haukufika akawahi kuja kuvuta bangi pale mawela!!

Henry Joseph naye narudi,Kapombe hata mwaka hakufikisha!!

msijisifie hamjafanya chochote
 
kila la kheri dogo.maombi yangu yako pamoja nawe

go samatta gooooooo
 
Sijui Kirusi ila huwezi kunidanganya. Kuna maneno mawili matatu nadaka. Pizda tvui mat, unajua maana yake? Hahaha...

Haha.. wanaposema "kamanda", wanamaanisha cheo chake ni "kamanda wa jeshi la CSKA Moscow"
 
Ah Wapi hata nusu haukufika akawahi kuja kuvuta bangi pale mawela!!

Henry Joseph naye narudi,Kapombe hata mwaka hakufikisha!!

msijisifie hamjafanya chochote

Tatizo lako unaongea huna takwimu! Umeanza na kusema hakuna mchezaj wa Simba aliyecheza ligi kuu Ulaya na sasa hivi unakuja na vioja tena
 
Kijana wetu, tunakutakia kila la kheri na kukuombea ufanikiwe kwenye hayo majaribio uweze fungulia mlango na wengine.
 
tunakutakia kila la kheri dogo mungu akutangulie ututue kimasomaso tukuone ulaya
67dff2b06e64a12839cf0dadd4863491.jpg

hongera mrisho ngassa kwa kuoa
 
Kutoka tovuti ya CSKA
attachment.php
 
Attachments

  • samatta.png
    samatta.png
    272.4 KB · Views: 2,045
Matola na Henry Joseph wameenda umri ukiwa ushawatupa mkono lakini ni wachezaji waliojitambua hao wengine hatujui maswahibu yaliyo wakuta. Sasa nyie Kandambili wachezaji wanaishia kwenye Uwanja wa Manungwi na Azam complex

hunaulijualo ndoma unaongea upuuzi hapa....kwani utoto wao walikuwa wanacheza manyema FC au Simba
 
hongera mrisho ngassa kwa kuoa

Huyu kiazi! Aliitwa El Merreikh nafikiri wakati inafanya vizuri. Angeitumia kama daraja la kujitangaza, akagoma! Sasa hadi Ndalla wanamtumia kama sub-sub, sio super sub tena!
 
All the best Samata,naamini utawafungulia milango wengine
 
Back
Top Bottom