stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
hunaulijualo ndoma unaongea upuuzi hapa....kwani utoto wao walikuwa wanacheza manyema FC au Simba
Kutoka tovuti ya CSKA
Hah hah hah mkuu naona kwenye PC yako ulikua unajidunga na Rahatupu blog bila Ubishi
Hah hah hah mkuu naona kwenye PC yako ulikua unajidunga na Rahatupu blog bila Ubishi
Ukicheza Simba kwa Tanzania ni rahisi sana kufika Mbali kimpira labda uharibu mwenyewe kama
Yule Anduje Ngasa kipindi ameenda kufanya Majaribio pale Kwa Wagonga nyundo wa London "WestHam Utd" angekuwa ametokea Simba leo hii tungekuwa tunaongea vingine kuhusu yeye
Sijui Kirusi ila huwezi kunidanganya. Kuna maneno mawili matatu nadaka. Pizda tvui mat, unajua maana yake? Hahaha...
All the best Samata,naamini utawafungulia milango wengine
Hah hah hah mkuu naona kwenye PC yako ulikua unajidunga na Rahatupu blog bila Ubishi
Samata anajitambua ,naamini akifanikiwa wengine watazinduka.Mbona milango iko wazi tu.Atakwenda anayejitambua tu na si vingenevyo.
Nasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?
Hata Ronaldo alicheza bila njumu enzi zake the same na hao wamecheza Manungwi lkn wakala bata Ulaya. Sasa kina Ngassa wanazeekea Manungwi na pale mabatini
Hah hah hah mkuu naona kwenye PC yako ulikua unajidunga na Rahatupu blog bila Ubishi
Nasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?
kamanda ni team.Nasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?