stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
hunaulijualo ndoma unaongea upuuzi hapa....kwani utoto wao walikuwa wanacheza manyema FC au Simba
Hata Ronaldo alicheza bila njumu enzi zake the same na hao wamecheza Manungwi lkn wakala bata Ulaya. Sasa kina Ngassa wanazeekea Manungwi na pale mabatini