KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
angalau samata naimani anaweza kufanikiwa maana alionyesha uthubutu toka zamani.hao wengine waliotajwa ni kenge tu!wakiongozwa na ngasa
Nasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?
Sijui Kirusi ila huwezi kunidanganya. Kuna maneno mawili matatu nadaka. Pizda tvui mat, unajua maana yake? Hahaha...
Sikonge kamanda maana yake ni team
Ka translate kwenye Google translate hahaha.
Hili mbona kila mtu analijua liko wazi kabisa Nonda Shaban alitokea Msimbazi tena alikuwa akiishi mtaa wa Kipata vile ha ha ha ha ha mijitu mingine hovyo kabisa.
E FM KUPITIA MAULID KITENGE NA WENZAKE WAMEDAI KUWA HATOSAJILIWA NA WAO WAMESOMA IYO TAHARIFA MTANDAO FULANI WA KIRUSi. SASA SIJUI NI ROHO MBAYA AU NDO DUA LA KUKU
kamanda ni team.
Mkuu, ты по русски хуйяришь(говоришь😉? Правильно, футбольная команда это значит football team..!
Да,Я хорошо говорю
откуда ты изучал?
В Россий жил и учился..!
Kitenge Yanga, kilichopitia Simba hataki kukisikia au kukiona kinafanikiwa.
Ila kwa Samatta, hata akikosa CSKA ila atapata timu nyingine nzuri ya ulaya. Nyota yake iko ulaya!
Ni kweli tumuombee kijana wetu afanikiwe.
Matumaini ni makubwa kwa maana alivyotoka Mbagala Market alikaa muda mfupi Simba kabla ya kwenda TP Mazembe. Hii inampa nafasi kubwa kwa maana angelikaa zaidi ya miaka miwili Simba/Yanga ndipo hapo wachezaji wanakuwaga brainwashed na kujazwa uswahili. Kwa maana hiyo muda aliokuwa DRC atakuwa alirudishia ile akili iliyochafuliwa akiwa Simba!
Kwani Papii ni mtz??? Simba ndio timu ya kutokea kwa wachezaji waTz wanaotaka kutoka, Mtake Msitake, ndo ukweli huo! Mchezaji wa Yanga Mtz akitaka kutoka LAZIMA ajiunge Simba kwanza.