Mbwana Samatta akiwa majaribioni CSKA Moscow

Mbwana Samatta akiwa majaribioni CSKA Moscow

angalau samata naimani anaweza kufanikiwa maana alionyesha uthubutu toka zamani.hao wengine waliotajwa ni kenge tu!wakiongozwa na ngasa

E FM KUPITIA MAULID KITENGE NA WENZAKE WAMEDAI KUWA HATOSAJILIWA NA WAO WAMESOMA IYO TAHARIFA MTANDAO FULANI WA KIRUSi. SASA SIJUI NI ROHO MBAYA AU NDO DUA LA KUKU
 
Nasikia wanamuongelea Samattha. Bahati mbaya sijui Kirusi kabisa, too sad. Ila wanasema hai Tanzania na neno Kamanda, sijui ina maana gani hii kamanda?

Hapo kwenye kamanda walikuwa wanaongelea ile nyimbo ya Daz Nunda, duh kumbe na wao wanajulikana mpaka Urusi!
 
Asante Ivunga, hawa vijana walikuwa wananizungua tu, shenzi zao. Ningelijua wanapoishi, ningeliwalewesha Vodka hadi wawe ni Video bora ya walevi ndani ya Youtube.

Sikonge kamanda maana yake ni team
 
Hili mbona kila mtu analijua liko wazi kabisa Nonda Shaban alitokea Msimbazi tena alikuwa akiishi mtaa wa Kipata vile ha ha ha ha ha mijitu mingine hovyo kabisa.

Kwani Papii ni mtz??? Simba ndio timu ya kutokea kwa wachezaji waTz wanaotaka kutoka, Mtake Msitake, ndo ukweli huo! Mchezaji wa Yanga Mtz akitaka kutoka LAZIMA ajiunge Simba kwanza.
 
Good luck and all the best.
 
E FM KUPITIA MAULID KITENGE NA WENZAKE WAMEDAI KUWA HATOSAJILIWA NA WAO WAMESOMA IYO TAHARIFA MTANDAO FULANI WA KIRUSi. SASA SIJUI NI ROHO MBAYA AU NDO DUA LA KUKU

Kitenge Yanga, kilichopitia Simba hataki kukisikia au kukiona kinafanikiwa.
Ila kwa Samatta, hata akikosa CSKA ila atapata timu nyingine nzuri ya ulaya. Nyota yake iko ulaya!
 
kamanda ni team.

Mkuu, ты по русски хуйяришь(говориш&#1100😉? Правильно, футбольная команда это значит football team..!
 
Mkuu, ты по русски хуйяришь(говориш&#1100😉? Правильно, футбольная команда это значит football team..!

Да,Я хорошо говорю
откуда ты изучал?
 
duu akina ngasa wanapga hat trick za (wake kaoa wake wa3) watu wanpga majarbio ulaya
 
Да,Я хорошо говорю
откуда ты изучал?

В Россий жил и учился..!
 
В Россий жил и учился..!

отлично!!
 
Ukweli ndio huo kuwa CSKA wameandika kwa ufupi tu kuwa hawatamsajili...

Nadhani atapata sehemu kucheza nyingine bila shaka maana jamaa ni mzuri na ana rekodi inayombeba...

Kitenge Yanga, kilichopitia Simba hataki kukisikia au kukiona kinafanikiwa.
Ila kwa Samatta, hata akikosa CSKA ila atapata timu nyingine nzuri ya ulaya. Nyota yake iko ulaya!
 
Umenena mkuu ni swala la mchezaji mwenyewe kujitambua sio timu gani kacheza
 
Ni kweli tumuombee kijana wetu afanikiwe.
Matumaini ni makubwa kwa maana alivyotoka Mbagala Market alikaa muda mfupi Simba kabla ya kwenda TP Mazembe. Hii inampa nafasi kubwa kwa maana angelikaa zaidi ya miaka miwili Simba/Yanga ndipo hapo wachezaji wanakuwaga brainwashed na kujazwa uswahili. Kwa maana hiyo muda aliokuwa DRC atakuwa alirudishia ile akili iliyochafuliwa akiwa Simba!

Hahahahahhaah......kwamba unataka kutuaminisha mbagala market ndiyo kila kitu

Kwamba simba haikumsaidia kufika hapo?

Yaani kwa sababu ya Uyanga wako tukuamini kwamba kwa samatta kwenda TP Mazembe sio kwa sababu ya kuchezea simba?

Unajua kuwa walisajiliwa wawili toka Simba wakati ule...TP Mazembe iliwaona wakiwa Simba.

Kataeni kubalini ....Simba ndio chuo cha soka Tanzania

Kiota cha kulea makinda bora wa mpira....Manyika...ndemla...mkude....Galas...chriss edward....singano...sammatta and many more.

Ukichukia kula ndimu...hahahaha
 
hiyo chenga aliyopigwa hapo ndio itamkosesha kusajiliwa ..hawezi pigwa chenga ya kibwege hivo..kaniudhi sana huyu dogo...
 
Kwani Papii ni mtz??? Simba ndio timu ya kutokea kwa wachezaji waTz wanaotaka kutoka, Mtake Msitake, ndo ukweli huo! Mchezaji wa Yanga Mtz akitaka kutoka LAZIMA ajiunge Simba kwanza.

yanga wachawi na roho mbaya ndo maana uongozi wao magamba matupu
yangs kutoka ngumu sana
 
Back
Top Bottom