Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahahahahhaah......kwamba unataka kutuaminisha mbagala market ndiyo kila kitu
Kwamba simba haikumsaidia kufika hapo?
Yaani kwa sababu ya Uyanga wako tukuamini kwamba kwa samatta kwenda TP Mazembe sio kwa sababu ya kuchezea simba?
Unajua kuwa walisajiliwa wawili toka Simba wakati ule...TP Mazembe iliwaona wakiwa Simba.
Kataeni kubalini ....Simba ndio chuo cha soka Tanzania
Kiota cha kulea makinda bora wa mpira....Manyika...ndemla...mkude....Galas...chriss edward....singano...sammatta and many more.
Ukichukia kula ndimu...hahahaha
umesahau henry joseph na thomas ulimwengu