Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

Alipoteza sana pale alipoenda epl. Nadhani angemaintain pale pale belgium angekua bado yuko hot [emoji91].
 
Samatta kinaweza kikamkuta kilichomkuta aliposajiliwa Aston Villa,


Samatta aliikuta Villa ikiwa kwenye matatizo hivyo asingeweza kubadili kitu chochote wakati timu yote ilikua imesha jichokea na iliponea kwenye tundu la Sindano tu kushuka daraja,
Lakini ligi bado mbichi sana! Ligi ya michezo 34, hadi sasa ndo kwanza imechezwa michezo peke yake, na kwahiyo uwezo wa ku-bounce ni mkubwa mno! Aston Villa aliikuta timu ikiwa tia maji maji, na kipindi cha lala salama! Ila utamu zaidi, kuna uwezekano mkubwa Antwerp wakawa kundi moja na Fernabahce kwenye Yuropa!
 
Royal Antwerp sio timu ya kuibeza, mwaka jana ilicheza Europa League. Huku Royal Antwerp ilikuwa kundi moja la J la michuano hiyo ikakumbana na timu kama Tottenham ya Kocha Jose Mourinho, wachezaji wakubwa kina Gareth Bale alikuwa mmojawapo ktk kikosi cha timu hiyo ya Uingereza

Royal Antwerp 1 - 0 Tottenham Hotspur FC


Source : Mougou DuMboko

Royal Antwerp FC official website

Msimu wa ligi ya Belgium 2019 / 2020 msimamo : Royal Antwerp FC yamaliza nafasi ya 4 na kushiriki michuano ya Europa League.
 
Iwetu sis wafuatiliaji wa soka kwa undani hizi default ambazo tunajiuliza..

Ndani ya siku yaleo muda huu mbwana Ndg yetu simuoni kwenye orodhas hii na nimeichukua yote...maana yake ni kwamba aidha yupo timu B au vipi Kuna makosa??
 
Kocha wa Fenerbahce alisema Samatta alikosa confidence, ila kama angejiamini ni mchezaji mzuri.
Sáankwa nn hakumpa... Kiongozi humpa confo mfanyakaz wake...Uniweka nje kila saa unaninyima confidence
 
Back
Top Bottom