Kikurajembe
Member
- Oct 23, 2015
- 82
- 23
Kila mwenye madeni yake atajitokeza. Waliosajili wachezaji watadai hela yao. Badala ya neema inaweza kuwa balaa.Hizo pesa za mgao wa simba nafikiri zinakuja sambaratisha amani ktk simba
Bofya hapaSio yeye
Nimeangalia namba 77Big up Mbwana kama hii jezi ni no.7 au 17 basi pia ni mwanzo mzuri wha2 I know Kwa club nyingi Za ulaya kupewa jezi namba 7.9.10.17 Na Kwa sasa no.20 Baada ya Van Parsie kui2endea haki pale Man U ni Shida lazima umnyanganye mchezaji mwingine Kwani huwa ni mos favored jezi. Hongera Mbwana.honera Tanzanians.
No za uwanjani mwisho huwa ni 11.Big up Mbwana kama hii jezi ni no.7 au 17 basi pia ni mwanzo mzuri wha2 I know Kwa club nyingi Za ulaya kupewa jezi namba 7.9.10.17 Na Kwa sasa no.20 Baada ya Van Parsie kui2endea haki pale Man U ni Shida lazima umnyanganye mchezaji mwingine Kwani huwa ni mos favored jezi. Hongera Mbwana.honera Tanzanians.
Uzuri ni kwamba sio kingereza ndo kinachocheza mpira..Hata kama hakijui uwezo utajionyesha tu...Alienda TP Mazembe lugha alikuwa hajui still ameshine..Walisema ooo hajui kienglish Leo nimemsikia mwenyewe akikibofya mbele ya wazungu wakati anatambulishwa go samata piga magoli mpaka wakukome
unaonekana kufurahia sana kuflop kwa hashim,tatizo nin?Nasikia majuzi alikuwa Arusha alafu akasepa kimya kimya teh teh teh
Ebu soma hapa, nimecheka mpaka basi aisee "
[h=3]Philadelphia 76ers[/h] On August 26, 2014, Thabeet was traded to the Philadelphia 76ers in exchange for a trade exception and a 2015 protected second round draft pick.[SUP][15][/SUP][SUP][16][/SUP] On September 1, 2014, he was waived by the 76ers.[SUP][17][/SUP]
[h=3]Detroit Pistons[/h] On September 25, 2014, Thabeet signed with the Detroit Pistons.[SUP][18][/SUP] However, he was later waived by the Pistons on October 20, 2014.[SUP][19]"[/SUP]
hashima kazengua sana ni aibu hata kujaribu kumtetea.unaonekana kufurahia sana kuflop kwa hashim,tatizo nin?