Mbwana Samatta asaini rasmi Genk ya Ubelgiji

Big up Mbwana kama hii jezi ni no.7 au 17 basi pia ni mwanzo mzuri wha2 I know Kwa club nyingi Za ulaya kupewa jezi namba 7.9.10.17 Na Kwa sasa no.20 Baada ya Van Parsie kui2endea haki pale Man U ni Shida lazima umnyanganye mchezaji mwingine Kwani huwa ni mos favored jezi. Hongera Mbwana.honera Tanzanians.
 
Rasmi samata kukipiga ubelgiji katumbi asaini form za kumuuza krc Genk
Sasa kuanza maisha mapya ubelgiji ndio makao yake sasa
 
Big up Mbwana kama hii jezi ni no.7 au 17 basi pia ni mwanzo mzuri wha2 I know Kwa club nyingi Za ulaya kupewa jezi namba 7.9.10.17 Na Kwa sasa no.20 Baada ya Van Parsie kui2endea haki pale Man U ni Shida lazima umnyanganye mchezaji mwingine Kwani huwa ni mos favored jezi. Hongera Mbwana.honera Tanzanians.
Nimeangalia namba 77
 
No za uwanjani mwisho huwa ni 11.

Hizo zingine mpaka 77 zinatoka wapi au wanachora tu???
 
Walisema ooo hajui kienglish Leo nimemsikia mwenyewe akikibofya mbele ya wazungu wakati anatambulishwa go samata piga magoli mpaka wakukome
 
Uzuri ni kwamba sio kingereza ndo kinachocheza mpira..Hata kama hakijui uwezo utajionyesha tu...Alienda TP Mazembe lugha alikuwa hajui still ameshine..
 
Nasikia majuzi alikuwa Arusha alafu akasepa kimya kimya teh teh teh

Ebu soma hapa, nimecheka mpaka basi aisee "

[h=3]Philadelphia 76ers[/h] On August 26, 2014, Thabeet was traded to the Philadelphia 76ers in exchange for a trade exception and a 2015 protected second round draft pick.[SUP][15][/SUP][SUP][16][/SUP] On September 1, 2014, he was waived by the 76ers.[SUP][17][/SUP]
[h=3]Detroit Pistons[/h] On September 25, 2014, Thabeet signed with the Detroit Pistons.[SUP][18][/SUP] However, he was later waived by the Pistons on October 20, 2014.[SUP][19]"[/SUP]
unaonekana kufurahia sana kuflop kwa hashim,tatizo nin?
 
Mwacheni Hashim jamani nyie mnafikiri jokate anafurahia mnavyomsema
 
Dah hii namba aliyopewa mbona nzito sana si itamudondosha uwanjani dk 90 ameibeba mgongoni
 
Back
Top Bottom