Kikurajembe
Member
- Oct 23, 2015
- 82
- 23
Big up Mbwana kama hii jezi ni no.7 au 17 basi pia ni mwanzo mzuri wha2 I know Kwa club nyingi Za ulaya kupewa jezi namba 7.9.10.17 Na Kwa sasa no.20 Baada ya Van Parsie kui2endea haki pale Man U ni Shida lazima umnyanganye mchezaji mwingine Kwani huwa ni mos favored jezi. Hongera Mbwana.honera Tanzanians.