Mbwana Samatta asaini rasmi Genk ya Ubelgiji

Mbwana Samatta asaini rasmi Genk ya Ubelgiji

Mungu amfungulie popote aendapo, afanye vizur kama yule mchezaji wa Garbon anayechezea B.Dortmund Aubameyang. All the best Sammata
 
Naikumbuka hii story, baada ya hapa ndo alienda D-League nadhani inaitwa Grand Rapids.

Angeenda zake China tu.

Yaani hapo Sixers alikaa wiki moja tu wakamtimua.. Pistons nao wiki 3 tu..

Bila shaka huyu jamaa ana matatizo.. Nasikia ni mzee wa kwenda stripe club na kutoka na malaya kila wiki
 
Sasa Ndio Akomae Kupata No Ya KUDUMU Kama Ilivyokuwa TP Mazembe!! Mwanzo Ni Mgumu Mno Ila, Akikomaa Na Kuvumilia, Mbona Mbele Kweupee!!!!! Kama Akina Victor Wanyama Walivyoanzia!!!! Hongera Saana Kwake!!!!!
 
hawa ni wale genk ambao wamefuzu mtoano UEFA? kama ndio ni bonge la timu na big up aliemshauri aende hapo maana akikaza kidogo tu anaingia ligi kubwa.

Hii ni timu ya ligi kuu ya ubelgiji
Na wanacheza uefa pia
 
Yaani hapo Sixers alikaa wiki moja tu wakamtimua.. Pistons nao wiki 3 tu..

Bila shaka huyu jamaa ana matatizo.. Nasikia ni mzee wa kwenda stripe club na kutoka na malaya kila wiki
Hasheem kipaji chake kilikua kidogo ila kitu kilicho kuja kumsaidia ni mafunzo aliyopata uko USA, kama nafasi hzo wangepata vijana
 
Ni hatua nzuri kwa wachezaji wetu wa bongo.Akimaintain kiwango na discipline atafika mbali sana.Akiwa mazembe jezi yake iliandikwa samatha!Ihope huko ulaya ataandika kitanzania tu kama ilivyo samatta.
 
Mkuu umenichekesha sana Ali kiba si ndio anamiliki sasa

Ali Kib anaongezea umaarufu tu, mahali alipopita yule tall unafikiri ni mchezo.

Ndo maana kila Ali K akiulizwa anakanusha, watu wamemshindwa yule mtoto kwa sababu ya K kutanuliwa na Tall.
 
Yaani hapo Sixers alikaa wiki moja tu wakamtimua.. Pistons nao wiki 3 tu..

Bila shaka huyu jamaa ana matatizo.. Nasikia ni mzee wa kwenda stripe club na kutoka na malaya kila wiki

Alivyoenda Sixers nilijua sasa anapata airtime ya kutosha, nilishangaa eti na wao hawamtaki!

Sasa hata huko D-League ataachwa nako.
 
Ngoja Yanga waisikie hii, bin kleb kesho anampandia ndege
 
Mshambuliaji wa tp mazembe atajiunga na KRC GENK ya ubelgiji baada ya timu hiyo kumnunua kwa yuro milioni 2.5 sawa na karibu billion 6 za kitanzani

SIMBA pia itanufaika na mauzo hayo kwa kua kwenye mkataba kiliwekwa kifungu

Natumai hata kile kituo cha kimbangulile nao watafaidika
 
Mshambuliaji wa tp mazembe atajiunga na KRC GENK ya ubelgiji baada ya timu hiyo kumnunua kwa yuro milioni 2.5 sawa na karibu billion 6 za kitanzani

SIMBA pia itanufaika na mauzo hayo kwa kua kwenye mkataba kiliwekwa kifungu

safi kijana wa kitanzania kututoa tongotongo, ila kwa simba nawadauti kwani hawachelewi kulambishwa mchanga japo wameshanawa kula kwani usanii ulotamaraki pale msimbazi ni wa ukweli akseh
 
hongera sana bwana Ally Samatta,the pride of Mbagala.alienda wapi Yusuph Soka?
 
Back
Top Bottom