Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naikumbuka hii story, baada ya hapa ndo alienda D-League nadhani inaitwa Grand Rapids.
Angeenda zake China tu.
Vizuri kwake, akapambane sana ili atoe mwanga kwa wengine.
Asiwe kama jamaa yake Jokate ameflop NBA kabisa.
hawa ni wale genk ambao wamefuzu mtoano UEFA? kama ndio ni bonge la timu na big up aliemshauri aende hapo maana akikaza kidogo tu anaingia ligi kubwa.
Yaani hapo Sixers alikaa wiki moja tu wakamtimua.. Pistons nao wiki 3 tu..
Bila shaka huyu jamaa ana matatizo.. Nasikia ni mzee wa kwenda stripe club na kutoka na malaya kila wiki
Hasheem kipaji chake kilikua kidogo ila kitu kilicho kuja kumsaidia ni mafunzo aliyopata uko USA, kama nafasi hzo wangepata vijana
Genk
Imeshiriki uefa mara kadhaa na kubeba kombe la ligi yao pia
Kuna kaa gent na hiyo krc Genk
Gent ndio wanacheza uefa hivi sasa na Genk wao wanashika nafasi ya 6 katika ligi ya kwao
Mkuu umenichekesha sana Ali kiba si ndio anamiliki sasa
Yaani hapo Sixers alikaa wiki moja tu wakamtimua.. Pistons nao wiki 3 tu..
Bila shaka huyu jamaa ana matatizo.. Nasikia ni mzee wa kwenda stripe club na kutoka na malaya kila wiki
Deal nono....
Mshambuliaji wa tp mazembe atajiunga na KRC GENK ya ubelgiji baada ya timu hiyo kumnunua kwa yuro milioni 2.5 sawa na karibu billion 6 za kitanzani
SIMBA pia itanufaika na mauzo hayo kwa kua kwenye mkataba kiliwekwa kifungu

hongera sana bwana Ally Samatta,the pride of Mbagala.alienda wapi Yusuph Soka?