Una kaujinga kengi mnoBasi msitudanganye msimu huu atacheza UCL , kwa ligi ya uturuki nafasi ya UCL ni 1 tu, na Galatasaray ndiye anayeichukua kila siku,
Hahahahahahahahah Fenerbhace wameshajifia miaka mingi,Kilichobakia kwao ni Historia tu na sio vinginevyo, Achilia mbali Galatasaray Basaksehir,Fenerbhace kwa uwezo walionao hivi sasa hata kwa Goztepe hawafiki.Una kaujinga kengi mno
galatasaray yuko nyuma makombe 6 ya ligi kwa huyu, angekua anachukua kila siku kwann akawa nyuma??
alafu kwa utopolo wako, nani kasema wanaenda msimu huu???
Ona huyu, umeshindwa hata kutumia Smartphone yako kupekua pekua ngoja nikusaidieHahahahahahahahah Fenerbhace wameshajifia miaka mingi,Kilichobakia kwao ni Historia tu na sio vinginevyo, Achilia mbali Galatasaray Basaksehir,Fenerbhace kwa uwezo walionao hivi sasa hata kwa Goztepe hawafiki.
Hahahahahahahahah Baada ya kwenda Samatta ndio umeenda ku Google historia ya Fenerbhace ,Fernabhance imeshapotea kwenye ramani ya soka la Uturuki na ulaya tangu mwaka 2014 Huu ni mwaka wa 6 Hata kikombe cha mbuzi hawana,Uefa Champions league yenyewe tu tangu mwaka 2013 mpaka leo hawajarudi hahahahahahahahah Unaniambia porojo gani wewe.Ona huyu, umeshindwa hata kutumia Smartphone yako kupekua pekua ngoja nikusaidie
Tokea msimu wa 1995 mpaka leo 2020
Kamaliza nafasi ya 4 mara 2
Nafasi ya 6 mara 2 na 7 mara moja .. jumla misimu mitano
Misimu mingine yoote 20 iliyosalia, kama sio bingwa basi ni nafasi ya pili kama sio nafasi ya pili Basi ni nafasi ya tatu
kuanzia msimu wa 2009 hadi leo 2020
Kachukua ubingwa mara 2
Nafasi ya pili kamaliza mara 6
Nafadi ya tatu mara 1
nafasi ya 6 mara 1 na 7 moja
utasemaje hii timu imejifia zamani ??
kama ndani ya misimu 11 iliyopita, misimu 8 kamaliza ndani ya TOP 2 , hizo guts za kusema wamejifia unazitolea wapi Utopolo ww???
punguza kutumia simu kuangalia porn sana, itumie kujifunza walau kidogo
Sokapohapa
Mkuu, mbona unaniangusha sanaHahahahahahahahah Baada ya kwenda Samatta ndio umeenda ku Google historia ya Fenerbhace ,Fernabhance imeshapotea kwenye ramani ya soka la Uturuki na ulaya tangu mwaka 2014 Huu ni mwaka wa 6 Hata kikombe cha mbuzi hawana,Uefa Champions league yenyewe tu tangu mwaka 2013 mpaka leo hawajarudi hahahahahahahahah Unaniambia porojo gani wewe.
Safii, anaenda Uefaa
Safi sana.Na tayari Samatta keshatupia goli dakika ya 24!!
Mashabiki wa Fener walivyo na fujo, sipati picha itakavyokuwa Instagram account ya Samatta hii leo!katupia goli lingine kijana wetu
yeah leo watasumbua sana, Dogo ufungaji bora unamuitaMashabiki wa Fener walivyo na fujo, sipati picha itakavyokuwa Instagram account ya Samatta hii leo!
Kila la kheri captain Diego