Mbwana Samatta avunja rekodi kedekede

Acha ujinga, utamuharibia, udini peleka msikitini tuachie mchezo wetu, ndo burudani yetu hii sisi, sasa unapoingiza haya udini wenu mtatuchafulia mchezo wetu pendwa. Kaka pembeni dada plz,

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe, kusema namuunga mkono Muislam mwenzangu ndiyo udini?

Nyie mkisikia neno, Muislam au Uislam basi mnawehuka sijuwi mna mapepo ya asili ndiyo maana mnauogopa Uislam?
 
Kavunja record au kaweka record!??

Huko shuleni ulifundishwa ujinga (In FaizaFoxy voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Bibi ukikubali tu ulikosea kutakuwa na tatizo?!
 
Acha uongo Kikwete ni mpenzi kindakikindaki wa Newcastle Utd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Analipwa kiasi gani kwani.????
 
FaizaFoxy thamani yake kwa sasa ni kiasi gani, na mwanzo alikuwa na thamani kiasi gani.???
 
Na mimi nimevunja rekodi ya kuwa mtanzania wa 100 kuchangia uzi huu..
 
Hiyo million 100 umeitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…