Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
16-02-2019[emoji777]Ma Shaa Allah.
Kijana wetu amevunja rekodi zifatazo mpaka sasa...
1) Mtanzania wa kwanza kucheza Premier League ya Uingereza.
2) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League.
3) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la Premier League kwenye mechi ya kwanza.
4) Mtanzania wa kwanza kufunga goli la kichwa la kwanza la Aston Villa toka msimuu huu uanze.
5) Mchezaji wa kwanza kupanda thamani ndani ya Premier League msimu huu ndani ya mechi mbili tu.
Ongezea...
Samatta anatarajiwa kucheza tena tarehe 16-02-2019 wakati timu take itapopambana na Tottenham (timu ya Uingereza anayoshabikia Kikwete).
Tumuombee dua njema kijana wetu, anatupeperushia bendera yetu ya Tanzania vizuri kabisa huko Uingereza.
Allah amuondolee na amuepushe na hassad zote. Amiiin.
rekodi iliwahi kuwekwa na nani mpaka Samatta aivunje????Za Tanzania, ya Aston Villa.
Hivi mnachosoma hamuelewi?
Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Utaharibu uzi sasa hivi.
Samatta ni kijana wa mfano kwanza hana maringo na mstaarabu sana ukitaka kuthibitisha angalia pesa anayolipwa na maisha anayoishi....pia angalia lile sakata alivyokua anashambuluwa na sisi watanzania kwa kucheza vibaya timu ya taifa angalia jinsi alivyojibu jwa utulivu na upole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samatta kawalaumu hao malimbukeni juzi tu... Yawezekana ww ni mmojawapo.At least limbukeni mwenzenu Mbwana Samatta anatufuta ulimbukeni.
Ma Shaa Allah.
Acha ubishi bibi. Samatta rekodi hajavunja bali ameweka.Wapo (yupo) aliye/waliokwisha cheza ligi zingine za Ulaya, hata yeye mwenyewe kishacheza ligi nyingine Ulaya.
Hapa amevunja rekodi na ndiyo kaweka hiyo rekodi mpya. Huwa sikisii.
Mbona analopwa pesa ya kawaida sanaUtaharibu uzi sasa hivi.
Samatta ni kijana wa mfano kwanza hana maringo na mstaarabu sana ukitaka kuthibitisha angalia pesa anayolipwa na maisha anayoishi....pia angalia lile sakata alivyokua anashambuluwa na sisi watanzania kwa kucheza vibaya timu ya taifa angalia jinsi alivyojibu jwa utulivu na upole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ishuke tu miamba ya zamani irudi pale EPL ikiwemo
Bibi wewe na mpira wapi na wapi?Samatta amenunuliwa na Aston Villa kuokoa jahazi. Kumbuka hilo.
Tunamuombea kazi iliyompeleka iwe ya mafanikio kwake. Amiiin.