Mbwana Samatta avunja rekodi kedekede

Kiswahili na waswahili...hajavunja rekodi bali kaweka rekodi kama mtanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe uandike nini ikiwa wote ntawaandika mimi?

Nimeona hamumwandiki Mbwana Samatta, Muislam mwenzangu, hizi rekodi muhimu anazovunja ndiyo maana nikamwandika.

Unaona vibaya?

Waislam wadini sana, watu hawajugi tu. Alfu pia ni watu wanaopenda kulalamika


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kavunja rekodi ya waislam wa Tz.👳💊 😒
 
Kikwete anashabikia Newcastle bibi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanzania wa kwanza kuwa Mchezaji bora + Top score Caf Champions League.
Mtanzania wa kwanza Kucheza UEFA CL + Kuscore.
 
Kikwete anashabikia Newcastle acha uongo wewe bibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samatta amefanya mpaka vibibi vya mbagala sasa vimeanza kufuatilia rekodi za mpira wa miguu ilihali zamani vilisema ni haramu!
 

Kwa kumbukumbu zangu Kikwete ni mshabiki wa Newcastle United.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…