dolomon
JF-Expert Member
- Jun 5, 2018
- 595
- 1,230
Kiswahili na waswahili...hajavunja rekodi bali kaweka rekodi kama mtanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wangu mimi namba 4 ndio kavunja rekodi sababu aliwakuta watu tayari wanacheza yeye kafanya yake!! Na tena sio mtanzania, nina wasiwasi goli lake ndio goli la kwanza la kichwa kwa Aston Villa toka msimu huu uanze kama sijakosea.
Sasa 1 mpaka 3 kavunja rekodi ya nani! Mie naona tuseme kuwa ndugu yetu samatta kaweka rekodi!
Na nadhani rekodi yake namba 1 ngumu kuja kuvunjwa, atakaejaaliwa kwenda kucheza EPL hatovunja rekodi ya Samatta ila atakuwa kaweka rekodi yake kuwa Mtanzania wa pili kucheza EPL.
Sent using Jamii Forums mobile app