Mbwana Samatta hakwenda timu sahihi

Mbwana Samatta hakwenda timu sahihi

mbona mtu akiwapinga mnasema ana majungu? mnataka wote tuwe na mawazo yanayofanana?
Haiwezekani wote kuwa na mawazo sawa. Tunataka mtuambie, mlitaka Samatta aende nchi gani badala ya Belgium? Kwani hakuna aliefanikiwa akitokea Belgium? Je, tunajuaje kama kwenda Belgium was the only available option?

Je unajua wa ngapi wamefeli France? England? USA? Germany? Sweden? SA? Hizo nchi nimekutajia wapo watanzania yameenda na yamerudi na ndevu zao tu!
 
unaposema "mlitaka samata aende wapi" una maanisha akina nani? maana sijapinga yeye kuwepo huko...
 
Wakati Samatta anacheza A. Lyon, kuna mtu alikuwa anapata namba, Samatta benchi anamsubiria. Wenyewe Lyon walimuuza fasta Samatta kwenda SIMBA wakijua wanauza mchazaji wa bench na wao wanabaki na yule wa first 11. Leo kila mtu shahidi, kati ya SIMBA na Lyon, nani kaliwa?
 
Alogarithm za mpira haziko hivyo boss. Lolote huweza kutokea, hakuna wa kujilaumu... Ni vile tu kuuza wachezaji nje kwa dau kubwa sio kawaida yetu basi ikaonekana Simba wameula.
 
Hiyo Genk imefuzu kwenye hatua ya makundi ya l Ligi ya Uropa mwaka huu, ni timu ndogo hiyo?

Vv
 
wabongo wanalalamikaaa weeeee hawatoi alternative answer at right time and right place......

manka nipe lite bariiidiiii mazafanta
 
Mtoa post nadhan anafananisha futbol na ready!
 
Hizo nchi ama timu unazoona ni sahihi kwenda samata asingetimiza vigezo ndio maana ukasikia takuma amefaulu vigezo vyote vya kuichezea arsenal ila amekosa kibali cha kufanyia kazi uk. nk
 
We lalama tu.....nyepesinyepesi ni kwamba Swansea wanamfuatilia kwa karibu ili kuimarisha kikosi chao
 
Back
Top Bottom