Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
mbona mtu akiwapinga mnasema ana majungu? mnataka wote tuwe na mawazo yanayofanana?Ndio tulivo sisi. Sisi Matanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona mtu akiwapinga mnasema ana majungu? mnataka wote tuwe na mawazo yanayofanana?Ndio tulivo sisi. Sisi Matanzania.
Haiwezekani wote kuwa na mawazo sawa. Tunataka mtuambie, mlitaka Samatta aende nchi gani badala ya Belgium? Kwani hakuna aliefanikiwa akitokea Belgium? Je, tunajuaje kama kwenda Belgium was the only available option?mbona mtu akiwapinga mnasema ana majungu? mnataka wote tuwe na mawazo yanayofanana?
unaposema "mlitaka samata aende wapi" una maanisha akina nani? maana sijapinga yeye kuwepo huko...Haiwezekani wote kuwa na mawazo sawa. Tunataka mtuambie, mlitaka Samatta aende nchi gani badala ya Belgium? Kwani hakuna aliefanikiwa akitokea Belgium? Je, tunajuaje kama kwenda Belgium was the only available option?
Je unajua wa ngapi wamefeli France? England? USA? Germany? Sweden? SA? Hizo nchi nimekutajia wapo watanzania yameenda na yamerudi na ndevu zao tu!
Unaposema "mtu akiwapinga" unamaanisha akina nani?mbona mtu akiwapinga mnasema ana majungu? mnataka wote tuwe na mawazo yanayofanana?
Una akili sanakwa hiyo kama alitokea huko unataka mfananisha na samatta?
Yawezekana ukawa mwamichezo lakini isiwe mpira pengine tenisHajui anenalo!
Tennis ni mpira mkuu. Tuseme labda TIYARI BADO au KOMBOLELA!Yawezekana ukawa mwamichezo lakini isiwe mpira pengine tenis
Alogarithm za mpira haziko hivyo boss. Lolote huweza kutokea, hakuna wa kujilaumu... Ni vile tu kuuza wachezaji nje kwa dau kubwa sio kawaida yetu basi ikaonekana Simba wameula.Wakati Samatta anacheza A. Lyon, kuna mtu alikuwa anapata namba, Samatta benchi anamsubiria. Wenyewe Lyon walimuuza fasta Samatta kwenda SIMBA wakijua wanauza mchazaji wa bench na wao wanabaki na yule wa first 11. Leo kila mtu shahidi, kati ya SIMBA na Lyon, nani kaliwa?