Mbwana Samatta huenda akasajiliwa na timu ya Middlesbrough ya Uingereza mwezi January.

Samatta apambane mechi na Uganda...Stars waende AFCON ..aonyeshe kiwango ...Timu kubwa zitabisha hodi kwake...ila Championship big No...
 
Ni bora samatha aende Tukuyu stars kuliko hicho kitimu cha daraja la pili.

Bora abaki Genk, then ajitume aweze kubeba Golden boot, pia aisaidie Genk kubeba hilo kombe. Pia huku Europa aongeze mabao akiwa hata top5 sio mbaya.

Mwez 5 anaweza kwenda Big club ya uingereza
 
Asiende kucheza championship Middlesbrough. Ukitokea timu kama Genk kwa kiwango chake kunasehemu inabidi uende ukakomae kama SS LAZIO, Atalanta bergamasca, Sampdoria, EPLkunatimu kama West Ham, Watford na Everton, La liga kama real betis, sevilla, Celta Vigo
 
Lete chanzo cha habari. Sio unaandika tu kwakuwa Everton kapigwa goli 6.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Yaani wewe ligi ya Belgium unailinganisha na ya Tanzania kwa EPL? Hatari sana.
 
January ndo hii

Zipo timu zimefanya kumuulizia Samata.

Crystal Palace walimuulizia Samata kabla ya kumsajili Genk Tosun wa Everton kwa mkopo.

Aston Villa nao wamemuulizia kwani nao wanatafuta mshambuliaji.

Meneja wa West ham nae amefanya maulizo juu ya kumsajili Samata.

Lakini imeonekana wanataka mshambuliai ambae tayari ana uzoefu wa ligi ya Uingereza.

Samata kama atakwenda Uingereza itakuwa ni kwa timu ambayo ipo juu tayari na inataka back up striker.

Ligi ya Ubelgiji ina mtindo tofauti wa uchezaji yaani "style of play", hivyo itamuwia ugumu Samata kubadili uchezaji wake.

Hata hivyo Samata inabidi sasa aanze kufikiria kupandisha Profile yake ili aonekane zaid barani Ulaya.

Bado kuna "window of oppoturnity" kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…