Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Kwahyo sio Everton tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na si Middlesbrough pekee hata timu za premier League nazo zinamwangalia zimetuma maskauti wao.
Everton leo kapigwa goli 6 na wameanza kufikiria mshambuliaji wa nyongeza, timu zingine kama West Ham United, Burnley Brighton & Hove Albion nazo zimefanya enquiries.
Nadhani ni mbinu ya timu kupiga pesa timu ikija kumuhitajiKaongeza mkataba Genk
Kweli kabisa mkuuAsiende kucheza championship Middlesbrough. Ukitokea timu kama Genk kwa kiwango chake kunasehemu inabidi uende ukakomae kama SS LAZIO, Atalanta bergamasca, Sampdoria, EPLkunatimu kama West Ham, Watford na Everton, La liga kama real betis, sevilla, Celta Vigo
Nikweli Ila ni ngumu kuonekana na kutoboa,na atakuwa kajizikaUna point.
Ila ligi ya daraja la pili ya Uingereza si lelemama.
Yaani wewe ligi ya Belgium unailinganisha na ya Tanzania kwa EPL? Hatari sana.Kwa mfano wewe ndio unachezea Yanga inayoongoza ligi ya Tanzania halafu club ya Aston Villa inayoshiriki ligi ya Championship kule Uingereza ikakuhitaji utaacha kwenda kisa unachezea timu inayoongoza ligi?! Point yangu tafuta kigezo kingine cha kumshauri Samata asiende Middles ila sio hicho ulichoandika.
January ndo hii