Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

Hata Senegal na Algeria wanamuhofia huyo Samatta kwa taarifa yako.Watakuwa wanamkaba kuliko maelez😵gopa mtu aliyeongoza kufunga magoli kwenye ligi ya Ubeligiji (si ligi ndogo kivile ni kwa sababu wengi hatuifuatilii)
ligi ipi Samatta kaongoza kwa magoli labda ndondo cup ya manzese
 
Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.
Kama kweli kasema hivi basi kazi tunayo. Nikajua hata huko nje ataenda kupata expossure na kujifunza kuongea kama kepteni lakini bila bila!!
 
Mimi ninachoamini Top scorer wa mashindano haya ya AFCON anatoka katika kundi letu...
Hizi habari za awamu ya tano ampelekee huyo top score.
 
Tatizo nyie mnadhani kila mtu duniani anafuatilia ligi ya Uingereza.Siku moja nilitembelea nchi ya moja Afrika Magharibi ya kifaransa basi weekend ya premier league nikawa nawashawishi tuangalie EPL wakawa wananishangaa!Kumbe wao wanaangalia sana ligi ya Ufaransa,ukienda Angola/Msumbiji wanaangalia sana ligi ya Ureno;Congo Kinshasha na Brazaville wanaangalia ligi ya Ubeligiji na Ufaransa,Equatorial Guinea=Spain;Nchi zilizotawaliwa na mwingereza zinaangalia EPL.Ni utumwa fulani
ligi ipi Samatta kaongoza kwa magoli labda ndondo cup ya manzese
 
Acha lomoni taja hiyo nchi ambayo Samatta kawa mfungaji bora acha kuzunguka zunguka
 
Epl ndiyo ligi inayoongoza kwa kufuatiliwa huko Congo wanakooangalia ligi ya Ubelgiji labda iko huko Nanjilinji
 
Tunza hiyo comment yangu.Magoli tutapata regardless kama tutashinda,sare au kufungwa nasema kugusa nyavu za wapinzani hilo halina ubishi
Kwa kikosi kipi mkuu, kwa hawa hawa wamakonde kina kichuya[emoji16]
 
Sikatai EPL ni bora duniani pointi yangu naona haukuipara vizuri
Epl ndiyo ligi inayoongoza kwa kufuatiliwa huko Congo wanakooangalia ligi ya Ubelgiji labda iko huko Nanjilinji
 
Belgium pro league 2018/19 Magoli 20 na Timu yake ya KRac Genk ndiyo Bingwa wa ligi ya Ubeligiji msimu wa 2018/19.Kumbuka ligi hiyo ndiyo imewazalisha akina Lukaku,Hazard nk.....
Acha lomoni taja hiyo nchi ambayo Samatta kawa mfungaji bora acha kuzunguka zunguka
 
Kama kweli amethubutu kutamka maneno mazito namna hiyo ni kwamba ameinajisi TFF na tutatolewa mapema sana.

Labda atubu mbele ya watanzania wote.
 
Wanigeria sio watu wazuri.. wa aoenda kuona mataifa mengine yanashindwa.

Kwenye mashindano kama haya sio vizuri kuwa na kocha wa kiafrica.. wanazingua.

Subiri siku yanga icheze na Vita.
 
Belgium pro league 2018/19 Magoli 20 na Timu yake ya KRac Genk ndiyo Bingwa wa ligi ya Ubeligiji msimu wa 2018/19.Kumbuka ligi hiyo ndiyo imewazalisha akina Lukaku,Hazard nk.....
Acha urongo wewe mfungaji bora ni yule mtunisia mwenye goli 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…