Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

Wadau wa JF,

Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.

Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.

Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.

Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.

Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?

Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Ulitaka amtaje Tundu Lisu !? Hiyo serikali ndio ipo madarakani kwa sasa ! Kamua malimao unywe
 
Wadau wa JF,

Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.

Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.

Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.

Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.

Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?

Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Nawaombea wafungwe nyingi za kutosha timu ya awamu ya tano, isio ya taifa
 
Yaani tukifungwa goli 3 tutakuwa tumejitahidi sana
 
Mechi zote watapapata kipigo cha mbwa koko maana wananuka damu za watu. Hawa wakilishi nchi ila awamu. Nilishamdharau huyu dogo na kauli zake za awamu ya tano badala ya nchi
 
Dogo kaingiza siasa
 
Anajua anachofanya Tabia ya watanzania ni kujali matumbo yao.

Na yeye anaenda nao mule mule hataki figisu za kizembe zembe.
 
Hah hah hah hah Kuna kipindi wachawi flani walimtamkia DOGO diamond maneno kama haya lakin DOGO yuleeeeeeeee
Hatumuongelei diamond kwenye uzi huu, tafuta uzi mwingine wa wanaomuongelea diamond
 
Wadau wa JF,

Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.

Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.

Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.

Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.

Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?

Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
Kila kitu tupo nyuma tukilinganisha na Kenya.......hadi Soccer!!!!, uchumi wetu mbovu, sheria mbovu (Draconian Law), Tunawakataa watanzania waliopo nje (Yaani ni sisi tu hatuna uraia pacha kwa jumuiya ya Africa Mashariki) kwa hiyo remittance yetu inashindwa na Uganda au Rwanda, Elimu tupo nyuma sana. Kila kitu tupo nyuma...nyuma.
 
Binafsi Nilijua hatufiki popote!
Eti awamu ya Tano!!! Shame shame.... Utumbo utumbo, firigisi firigisi hao wajinga wanaotudhalilisha na siasa zao za kichawi.

Mkuu zinc uliliona hili mapema.
 
Toa ujinga wako, huo wivu uliopitiliza utakuua. Uchaguzi ushaisha naona na waliokatwa mikia wakarudi walikotoka.
Sasa ulisema awape heshima Nyumbu au
FIFA inakataza siasa kwenye mpira na imeweka adhabu ili kukazia katazo lao, CCM inapuuzia katazo hilo ambalo linania ya kuleta umoja kwa mataifa yote baada ya tukio la vita vilivyotokana na mechi ya mpira huko Amerika ya Kusini miaka ya sitini, CCM inaleta chuki baina ya watanzania, wewe itakuwa mpumbavu kuunga mkono kauli ya timu ya taifa ni mali ya CCM, sikitu na hayo magoli matatu nayo ni mali ya CCM.
 
Tayari kimenuka
Wadau wa JF,

Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe.

Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu.

Kama ni kwa ajili ya Tanzania, nampa big up. Lakini kaniboa kuitaja wanaenda kucheza kwa ajili ya serikali ya awamu hii ya tano.

Hivi Samatta hajajifunza kuzungumza kwenye media au na yeye anaupata ukichaa, maana pembeni yake alikuwepo Juliana Shonza.

Huyu dada ni Naibu Waziri Wa Michezo sijui, au ndiyo naye ameamua kumuambia azungumze hivyo?

Basi Taifa Stars itarudi mapema sana nyumbani na haitafika mbali kwa sababu kapteni wao kashaanza kuwagawa Watanzania.
 
FIFA inakataza siasa kwenye mpira na imeweka adhabu ili kukazia katazo lao, CCM inapuuzia katazo hilo ambalo linania ya kuleta umoja kwa mataifa yote baada ya tukio la vita vilivyotokana na mechi ya mpira huko Amerika ya Kusini miaka ya sitini, CCM inaleta chuki baina ya watanzania, wewe itakuwa mpumbavu kuunga mkono kauli ya timu ya taifa ni mali ya CCM, sikitu na hayo magoli matatu nayo ni mali ya CCM.
Yaani matokeo ni hivi:-
1.Goli la 1- Stilaz goji
2.Goli la 2- Standadi goji
3.Goli la 3- Drimlaina
(In Slowslow's voice).
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wakitoka huko Misri na mabao matatu (3) ya kufunga nitaacha hii ID ya Viatu vya Samaki na kuja na mwingine mpya.

Wakitoka huko Misri na mabao chini ya 6 ya kufungwa pia nitaachana na hii ID.
Naona ID YAKO UTAIMAINTAIN!
 
Ni kweli tumefungwa ila ndio mpira huo hayo mengine ya kisiasa ni nyongeza tu.
 
Back
Top Bottom