Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu.Sijawahi mkubali huyo Mbwana samata na naona ana kiwango cha kawaida tu.
Kweli Mkuu.
Anavyozungumzwa na baadhi ya media hapo Tz, ni tofauti sana na uhalisia wake akiwa kwenye pitch.
Ni wakawaida sana, sijui labda huko ubelgij
Asa wewe ni sawa useme Ronaldo hajui kisa kutolewa na Ajax huko juventus alipohamia.Sijawahi mkubali huyo Mbwana samata na naona ana kiwango cha kawaida tu.
Ubelgiji na Tanzania tunalingana kimaendeleo?Kweli Mkuu.
Anavyozungumzwa na baadhi ya media hapo Tz, ni tofauti sana na uhalisia wake akiwa kwenye pitch.
Ni wakawaida sana, sijui labda huko ubelgij
Uko sahihi.Jamaa mzuri ila kwa Stars hana wakumlisha mipira
Angalia Argentina afu Nenda angalia Barcelona
ndyo umejua leo?Sijawahi mkubali huyo Mbwana Samatta na naona ana kiwango cha kawaida tu.