Mbwana Samatta ni mchezaji wa kawaida sana anakuzwa mno

Mbwana Samatta ni mchezaji wa kawaida sana anakuzwa mno

Mkuu yaaani kama vile ulkwa kwenye kichwa changu,huyo Mudathir na Mao sijawahi kuwaelewa kabisa kabisa.
Hauhitaji kuwa mtu wa mpira saana kujua hayo mkuu.

Mie hao watu wawili siwaelewi kabisa.
 
Anatakiwa apangwe na inside left Pierre Liquid na inside right Haji M.
 
Samatta anakuzwa na wanasiasa ni mchezaji wa kawaida sana.....hata yeye mwenyewe Samatta analielewa hilo!nia yake ya kukimbilia kucheza EPL tena timu kama Brighton ni udhibitisho tosha kabisa....angekuwa na "kiwango"angeanza kuota kuzichezea ManU,Mancity,Liverpool,Arsenal,Chelsea,nk!
Watu wa hivi wanakupa ban..Sadio Mane alianza kucheza timu gani EPL? ??Marseille wanamuhitaji ndio timu aliyoibukia Zidane na Drogba
 
Mkuu una udhibitisho?


Samatta alipitwa magoli mechi za playoffs[emoji23][emoji23]
Mechi za play- off Ni kwa team zinazorudi kwenye Ligi husika.
Mfungaji anayetambulika Ni yule wa mzunguko mzima wa Ligi ( natural league and not play offs.)
 
Hakuna wa kumkuza samatta, samatta kajikuza mwenyewe kwa uwezo wake binafsi. Tizama akiwa genk, tatizo huku na watu wenyewe anaocheza nao, eti midfielder mudathir anakokota mpira hatua 3 anajikwaa mwenyewe!! Sasa sijui ndio kitete ama hofu!! Binafsi sijawahi kumuelewa na sidhan kama yeye ndio kiungo bora zaidi ya viungo wote hapa tz kiasi cha kuanza yeye!! Mwingine ni huyu himid mao, midfielder za ajabu ajabu tu, wachezaji wa hovyo hovyo afanye nini, sijui beki mwantika!! Tabu tupu.
Mbona game na uganda alifanya vizuri tu

Tz tuna matatizo ila huyu bosi amunike ndio katuongezea shida, kamuacha mkude, haya huyu nyoni anamtupa benchi, kweli nyoni wa kukaa benchi akacheze mwantika!!


Ukweli samata ni moja kati ya wachezaji wachache bora waliowahi kupata kutokea tz.
himidi mao hafai ata kucheza lipuli
 
Kuna mtu Leo kwenye kijiwe nimekuta anabisha kua samata Ni zaidi ya wanyama nilimcheki nikaondoka
 
Ubelgiji na Tanzania tunalingana kimaendeleo?
Ndiye mfungaji Bora katika Ligi ya ubelgiji Kama Kagere( tz) Messi( Spain) Salah,Manne,aubameyang( England).
Ndiye mchezaji Bora mweusi ubelgiji.
Kasaidia Genk kuwa mabingwa.
Atacheza UCL Mwaka huu.
Wa kawaida kumlinganisha na Nani?
Wapi? Kwa kipindi kipi?

hakua mfungaji bora alipitwaa mwshoni mwa msimu
 
Huyu dogo kiwango chake ni kawaida mno, mtazamo wangu hata bocco ni bora zaidi yake
 
Back
Top Bottom