Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sammata wa Simba, TP Mazembe na Genk SIYO SAMMATA ANAYECHEZA NA WABOVU TAIFA STARS.Sijawahi mkubali huyo Mbwana Samatta na naona ana kiwango cha kawaida tu.
sasa icho ulichopost ni nn ebu soma kichwa cha habariRank Name Team Goals First scorer Penalties Missed penalties
1 Mbwana Samata Genk 20 5 1 0
2 Hamdi Harbaoui Zulte Waregem 18 7 4 0
3 Ivan Santini Anderlecht 14 3 2 0
4 Landry Dimata Anderlecht 13 3 3 0
5 Renaud Emond Standard Liege 12 2 3 0
5 Yohan Boli St.Truiden 12 1 0 0
5 Daichi Kamada St.Truiden 12 5 1 0
5 Victor Osimhen Sporting Charleroi 12 2 1 0
9 Hans Vanaken Club Brugge 11 4 5 0
9 Leandro Trossard Genk 11 2 1 0
9 Siebe Schrijvers Club Brugge 11 1 0 0
12 Wesley Club Brugge 10 4 1 0
13 Jovan Stojanovic Kortrijk 9 2 1 0
13 Cristian Benavente Sporting Charleroi 9 5 1 0
13 Ruslan Malinovsky Genk 9 3 2 0
16 Lior Refaelov Royal Antwerp 8 3 3 0
16 Luis Garcia Eupen 8 2 3 0
16 Gianni Bruno Cercle Brugge 8 1 3 0
16 Felipe Avenatti Kortrijk 8 3 0 0
16 Theo Bongonda Zulte Waregem 8 2 0
sasa kwani ubingwa walipatia nje ya play offUnahesabu mechi za play off?
Ndio. 😀😀Eh gorgeous na ww football fan?!!!
Kwako wewe mchezaji mzuri unamuangalia katika engo ipi!!Sijawahi mkubali huyo Mbwana Samatta na naona ana kiwango cha kawaida tu.
Yeye na mudathir yahya wananipaga tabu saana kuwaelewa kwa kweli.himidi mao hafai ata kucheza lipuli
Leo ametupia kwenye ukuta ulio kuwa unaongozwa na Vicent KompanySijawahi mkubali huyo Mbwana Samatta na naona ana kiwango cha kawaida tu.
Mm nakuoneshea uwezo wa sammatta ku score in all aspectssasa icho ulichopost ni nn ebu soma kichwa cha habari
Kama Samar’s ni mchezaji wankawaida we tukutaje uko hasi sanaSijawahi mkubali huyo Mbwana Samatta na naona ana kiwango cha kawaida tu.
Mtoto wa juzi wewe ubishi wa Nini? Search uone.Samata hajawahi kuwa mfungaji bora Wa ligi ya Belgium
Ukiweza kunipa ushahidi Ni lini Samata amewahi kuwa Top scorer wa ligi ya Belgium NITAKUPA LAKI 2....Mtoto wa juzi wewe ubishi wa Nini? Search uone.
Huu hapa leta na wewe mfungaji wakoUkiweza kunipa ushahidi Ni lini Samata amewahi kuwa Top scorer wa ligi ya Belgium NITAKUPA LAKI 2....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unajua walau league ya Belgium inavyoendeshwa usingeleta hii Takwimu ... Sikia kijana ,
Leta ushahidi wa huyo mfungaji wako Acha maneno ya kwenye kangaUngekuwa unajua walau league ya Belgium inavyoendeshwa usingeleta hii Takwimu ... Sikia kijana ,
Ligi ya German imegawanyika kwenye sehemu 2 , Pro league na Play off league ya mechi 10 baada ya ligi ligi ya kwanza kuisha ... Hii hushirikisha timu kuanzia inayoshika nafasi ya kwanza mpaka nafasi ya 6....
Katika zile mechi za playoff samata akizidiwa magoli... Acha kuniwekea Takwimu usizojua
Sent using Jamii Forums mobile app